Ni changamoto kidogo siku tukivunja mkataba tutaambiwa tulipe e dollar mil200$.Angola waliwapa Gati moja kwa miaka 20 kwa investment value ya Dollar mil 190$.Sisi tumewapa 4terminal mill 250$ je yupi mjanja kati yetu na Angola?five years $250 million dollars investment? yaani $50 million kwa mwaka ndio imetushinda kuinvest hapo?
Itakua wewe ni Yanga, team ya watu wa kelele mingi bure...,Labda ishinde na njaa😅😅😅😅
Kericho Green Stadium has become home for the 2 Tier NSL side Zoo Kericho
View attachment 2791640
Kweli munasafari ndefu sasa nimeamini🤣🤣Even Marsabit is developing a Stadium
View attachment 2791639
Wakunya endeleeni kuleta picha za kilimani,Kila mtu Ashinde mechi zake 🔥🔥
View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1716701143278014671?t=9YbFfpVS5RWx9TRa0DdaIg&s=19View attachment 2790974
Unaongea kwa uchungu sana pole!Ni muda mrefu sana sijapita humu!!
wacha nianze na kujibu huyu zwazwa..,
1. Public transport sio wingi wa mabasi kilaza.., infrastructure hampo.., kipande kidogo cha BRT pale Dar ukilinganisha na ukubwa sio sufficient, haitoshi, mnarundikwa ndani kama makondoo kila jioni kwa vile ni duni.., hapa unajitekenya., Dar bado, BRT isikudanganye.., eti infrastructure, train coverage iko vipi? expressway je? Superhighway? bypasses? ring roads? boss amka 😂 😂 😂 😂 😂 😂
2. Sports: medali ngapi wana spoti wenu wameletea Tanzania? na kuna watanzania wangapi kwa hizi sports?: kwa mfano Rugby? Athletics? Valleyball?, Football?(mnafanyaje kule nje?) Tennis je? Hockey? Cricket? Motor Sport?.., mbwembwe za Simba na Yanga na stadium moja ya maana taifa nzima zimekudanganya unadhani mko na sports, idiot😂😂😂😂😂😂😂..,
3. Food, Agriculture and delivery.., yaani mahindi kwa wingi ndio food?.., nyie ni watu wa mihogo na maharage kule vijijini, utapia mlo ndio wimbo.., tusipo nunua ufukara unasambaa zaidi vijijini.., boss danganya wasio ijua Tanzania.., leo hii Kenya imevuna kwa wingi sijui mtauza mazao yenu wapi, more ufukara loading😂😂😂😂😂😂😂😂, Agriculture isio na faida kwa taifa, ni cartels na wakenya wajanja wanafaidika kuliko mkulima wa Tanzania, watu hovyo nyie😂😂😂😂😂
4. Women, night life: hao washamba on average ndio unasema women?.., night life ipi? uliza wageni wanao fanya utalii kwa hizi nchi mbili utapata jibu.., ata Uganda imewashinda.., pengine mjikaze kwa utalii, hapo kidogo mnajaribu.,
5. Health and Delivery.., hapa hauhitaji nabii akwambie, Magufuli alikufia Kenya., period., viongozi wenu na matajiri wanatafuta matibabu ya hali ya juu Nairobi.., muhimbili ni ya panadol na family planning services.., nyambaff😂😂😂😂
6. Tourism: Kidogo mnajaribu...,
7. Militrary: kawaulize child soldiers wa DRC, panga boys.., kwa sasa ata Rwanda na Uganda hamuwawezi.., tulia kwa kelele za Simba na Yanga, mengine ambayo hauwelewi koma..,
taja mengine tuone...,
Ni salamu tu sina ubaya, mda mrefu, uhali gani?
Nimekuwa nikisubiri train hapa malaba tangu 2013 lakini wapi imebidi nioe hukuhuku na nijenge kibanda cha kukaa kusubiria train na sasa nimepata watoto 4 bado naendelea kusubiri treni ya esjiaraa ifike.Wapi SGR ya UMEME Dar to Moro? .., imeanza kazi? nimengoja tag lakini wapi? Sama boy 255 kulikoni? The best 007 vipi?.., 2023 ndio hii inaisha! bado hamjawai kupanda an SGR train!.., tokea April 2017 hadi wa leo!!! 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Labda ishinde na njaa😅😅😅😅
Ichoboy01 nakuheshinu kaka.
yeboyebo ni shida!Labda ishinde na njaa😅😅😅😅
Wakunya wanabembeleza Mwarabu 😂😂
View: https://twitter.com/BD_Africa/status/1717048258269261943?t=Qdm6JX5bumUzPTBZfmt5XQ&s=19
Gati zetu zote zimeshafanyiwa modernization na dredging imefanyinka kwenye habour kwahiyo mwekezaji hana kazi kubwa ya kufanya sana sana hiyo hela ataongeza vifaa na mifumo mizuri ya logisticsNi changamoto kidogo siku tukivunja mkataba tutaambiwa tulipe e dollar mil200$.Angola waliwapa Gati moja kwa miaka 20 kwa investment value ya Dollar mil 190$.Sisi tumewapa 4terminal mill 250$ je yupi mjanja kati yetu na Angola?
We kima wa chini acha kujitoa ufaham hii hapa nimepiga tena kwa simu yangu 😃😃😃😃😃wengine tupo ground tunawasikilizia ma professor wa uongo 😄😄Eldoret Express bado zinafanya kazi!?
Kitambo kuziona. Hiyo kampuni ilikuwa na mabasi karibu elfu moja, na kina Akamba bases.
Siku hizi Kenya tuko kwa hizi
Tanzania bado hamjafika. Jitahidi.
View attachment 2790568View attachment 2790571
Hivi hayo maghorofa yao ni vipi? Waligombana na madirisha au tuseme huko ni baridi sana mpaka wanaweka madirisha ya namna hiyo?!We kima wa chini acha kujitoa ufaham hii hapa nimepiga tena kwa simu yangu 😃😃😃😃😃wengine tupo ground tunawasikilizia ma professor wa uongo 😄😄
Muwe mnawadanganya ambao hawajafika kunyaland.
Kwenye issue ya usafiri wa mabasi Tanzania inaongoza.
View attachment 2792108View attachment 2792109View attachment 2792111View attachment 2792112View attachment 2792113