Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

20231024_124440.jpg
Pwani ya Kenya inanoga
 
Joho ana pesa ya kutembea popote atakako. Kabla aje Bongo alikuwa marekani na anajulikana kutalii nchi mbalimbali. Wewe huwezi kuja Kenya sio eti hutaki Bali huna pesa. Inferiority complex isikufanye ujione special Dogo.
Issue sio Joho kuja Tz issue ni Joho kushabikia Yanga, na sio Joho tu wakenya wengi wanashabikia Simba na Yanga including you, hakuna mtanzania anashabikia timu zingine za East Afrika ukiacha Simba au Yanga, 99% ya watanzania hawazijui timu za East Afrika ukiacha za Tanzania.
 
Simba na Yanga zinaenda kuwa ‘dini’ mpya za East and Southern Afrika, Yanga tumeanza kwa kuwa na matawi DRC na Rwanda, hapo Kenya ni suala la kwenda kuofficiate tu, fans wapo kibao. Juzi hadi Boss wa TP Mazembe kavaa jezi ya Simba and he was so proud of it, sasa tutahakikisha tunawasilimisha watu wote ukanda huu watake wasitake. Sisi ndio baba zao, nani anabisha?
 
Hapa ndio nilisema jana pameanza kuwekwa vizuri, Baada ya Siku kadhaa baada ya hivi pavement kutandikwa vizuri ntarudi kupiga picha za maana 😎

Unaona huu mzigo wa Pavement blocks?

View attachment 2791555

View attachment 2791559

View attachment 2791561
Hii kitu imeanzia Magogoni, inapiga mpaka Ocean Road Hosp, inasonga mpaka Ohio huko kupitia JNICC. Before na After ni muhimu sana kwa hawa jamaa zetu na vizazi vijavyo, na hapo bado BRT na DMDP haijafumua roads kadhaa za downtown.
 
Back
Top Bottom