Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1693290325921.png

1693290523630.png
 
Ila kila mtu neutral anasema Nairobi is miles away kushinda dar. Hii yenu ni blind patriotism
Kila mtu nani? Hakuna mtu mwenye akili timamu ata prefer Kenya kuliko Tanzania huo ndiyo ukweli hata wewe unaishi nao huo ukweli, wewe mwenyewe ukipata nafasi ya kufa alafu uulizwe uzaliwe wapi kenya au Tanzania, I'm 100% sure huwezi kuacha kutaka kuwa mtanzania.
 
Talented but I hear lots of Kenyan sheng….. we appreciate…. nice try…🤣🤣🤣…
Nilijua tu kuna mkunya atasema hivyo kwasabu nyinyi watu ni wagumu sana kuelewa kutokana na lishe duni mnayopata tangu mkiwa wadogo. Ngoja nikueleweshe, huyo demu katumia lugha yenye lafudhi ya kikunya kwasabu kataka kumjibu huyo underground wenu kwa kutumia style hiyo hiyo mnayotumia, yani hajataka kutumia style ya bongo cz hamuwezani nayo, that's why nyimbo ameiita jina la kikunya.
 
Ila Khaligaph amewachangamsha sana nyie. Yani sahii kila ,mtandao Tz ni Khaligaph. Mimi huona Wabongo wengi wakiongea uchafu kuhusu Kenya yet hakuna mwenye anashughulika kureply, Hapo kwenu mkiskia tu chochote kimesemwa na Mkenya kuhusu Bongo nchi yote hiyo ndio story. 🤣 🤣
Tanzania iiongelee Kenya kwenye mziki? Nyie kweli makatuni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tanzania iiongelee Kenya kwenye mziki? Nyie kweli makatuni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamaa yao badala ya kufufua huko kwao waliokufa anakuja kuchokoza walioishaamka. Kumbe ka wimbo kake alisharecords miaka mingi alikuwa anatafuta kick ya kuitoa, in 24hrs watu wametinga studio, Kachapwa ni balaa, hali ni mbaya sana pande hizo. Unaleta Sanaa Bagamoyo?😅😅
 
Nilijua tu kuna mkunya atasema hivyo kwasabu nyinyi watu ni wagumu sana kuelewa kutokana na lishe duni mnayopata tangu mkiwa wadogo. Ngoja nikueleweshe, huyo demu katumia lugha yenye lafudhi ya kikunya kwasabu kataka kumjibu huyo underground wenu kwa kutumia style hiyo hiyo mnayotumia, yani hajataka kutumia style ya bongo cz hamuwezani nayo, that's why nyimbo ameiita jina la kikunya.
Walitaka tumtukane Mmasai kwa Kigogo? Huyo angepigwa punch lines za Warume Ndago wa TMK au tamathali za semi za Prof Jay plus Falsafa za FA angeelewa nini? Ndio hapo wajue, cha kwao tunajua, na cha kwetu tunajua, alafu wao hawajui kitu.
 
arusha tayar sahvi wanafanya site clearance na kitakuwa na uwezo kuchukua watu elf 30
View attachment 2731912View attachment 2731913

View: https://youtu.be/5j7CtQ3TYyQ?si=Vy9W5Yedo6Tjuprc

Hii michuano tutaandaa wenyewe mm nawaambia subiri muone, hivi vinchi vya EA vingi ni fukara vinategemea Tz, mfano nchi kama Kenya mpaka sasa hakuna kiwanja chochote cha viwango kinachojengwa wala bajeti yake hakuna alafu wanataka kuandaa AFCON 🤣🤣🤣

Bora Uganda na kakiwanja kao kamoja, lkn hakuna nchi yoyote iliyopanga kujenga uwanja mpya wakati sisi huku mpaka vilabu vinapanga kujenga viwanja vyao. Linapokuja suala la mpira tupo dunia yetu, na haya mashindano tutaandaa pekeetu.
 
Kila mtu nani? Hakuna mtu mwenye akili timamu ata prefer Kenya kuliko Tanzania huo ndiyo ukweli hata wewe unaishi nao huo ukweli, wewe mwenyewe ukipata nafasi ya kufa alafu uulizwe uzaliwe wapi kenya au Tanzania, I'm 100% sure huwezi kuacha kutaka kuwa mtanzania.
So wao ni wendazimu sio? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 boss ukweli unabakia pale pale..,

View: https://www.youtube.com/watch?v=5fPctaQv478

View: https://www.youtube.com/watch?v=Tezz6lrrDk0
Huyu ndio alidharau Masaki.., na anasema tofauti kati ya Dar, Kampala na Nairobi.., boss jinyonge tu ufe, ukweli mchungu..,

View: https://www.youtube.com/watch?v=-DX5rNBr-M4&pp=ygUQU2FiYmF0aWNhbCBLZW55YQ%3D%3D
 
Back
Top Bottom