Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sama boy 255 naona moto uliouacha leo mpaka jamaa yako kaanza kupost sijui hoteli sijui shule haya yote yametokana na masaki sehem ambayo anashindana nayo mwaka wa nne anahangaika nayo na hajawah kufaulu🤣🤣🤣

Moyo wake unakwenda mbio ikiwa kaligraph na ufala wake wote katupa taulo chini yeye nani asing'ate ulimi 😅😅😅😅😅
Alooo mbona unalia sasa, ooh akibisha nitag🤣🤣🤣
 
Na karen ikitoboa kwa mbweni nitag mm nifunge acc maana masaki ni maji marefu sana tena sana 😅😅😅😅😅
Na hii vid ina 10min angalia uone maajabu hujawah ambiwa na kenyatta mpaka anakufa

View: https://youtu.be/ooFORhE4y7o?si=nEKHNimCldSxbi2N

Guys do you see a pattern?🤣
images-6.jpeg
images-5.jpeg
images-7.jpeg
images-4.jpeg
 
Back
Top Bottom