The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Cartoonist 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mombasa zaidi ya Dar..., 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
View attachment 2732334
View attachment 2732335
View attachment 2732337
Cartoonist 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mombasa zaidi ya Dar..., 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
View attachment 2732334
View attachment 2732335
View attachment 2732337
So wao ni wendazimu sio? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 boss ukweli unabakia pale pale..,
View: https://www.youtube.com/watch?v=5fPctaQv478
View: https://www.youtube.com/watch?v=Tezz6lrrDk0
Huyu ndio alidharau Masaki.., na anasema tofauti kati ya Dar, Kampala na Nairobi.., boss jinyonge tu ufe, ukweli mchungu..,
View: https://www.youtube.com/watch?v=-DX5rNBr-M4&pp=ygUQU2FiYmF0aWNhbCBLZW55YQ%3D%3D
Hapa East Africa obviously ni Kenya, Tanzania taifa lenye raiya hawana sauti, ufukara unaotokana na ushamba na kutokujua mengi, Kenya has better infrastructure, fast internet, vast business networks, better education, good exposure, best communication network, reforming/progressive political landscape(kuna mabadiliko), sio hiyo CCM tangu mababu hamna reforms..,Twende kwenye ukweli, tuache huu ukatunist unaofanya, je wewe leo ukifa then ukapewa nafasi uchague uzaliwe wapi Tz au Kenya, hivi utachagua ipi?
Tuko imaraMombasa zaidi ya Dar..., 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
View attachment 2732382
View attachment 2732384
View attachment 2732388
View attachment 2732381
View attachment 2732386
Hii hapa ni 3 years ago wabunge wenu walitembelea Dom wakaonyeshwa tu plan ya DOM gvt city na projects zingine, ona vile wali react. Najiuliza vipi leo wakirudi then waone utekelezaji wa zile plan ulipofikia .. they gon respect us forever. 👇Hapa East Africa obviously ni Kenya, Tanzania taifa lenye raiya hawana sauti, ufukara unaotokana na ushamba na kutokujua mengi, Kenya has better infrastructure, fast internet, vast business networks, better education, good exposure, best communication network, reforming/progressive political landscape(kuna mabadiliko), sio hiyo CCM tangu mababu hamna reforms..,
Uganda a military state, poor infrastructure, limited networks.,
Rwanda is overrated.., been there, apart from cleanliness and organization bado sana., hakuna mengi ya kufanya kule.., kisha they see u as an outsider.., wako reserved sana.,
Burundi same whatsapp group na Tanzania kifikra na maisha..,
Hivi Dar es Salaam kuna udongo mwekundu siku hizi nilikuwa sijui hili 😅Mtaani kwa bakhresaa masaki💥View attachment 2731721View attachment 2731728
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 chizi huyo tushampuuzaHivi Dar es Salaam kuna udongo mwekundu siku hizi nilikuwa sijui hili 😅
Mnapenda kukana vya kwenu Sana🤣Hivi Dar es Salaam kuna udongo mwekundu siku hizi nilikuwa sijui hili 😅
Pigieni huyu jama kura awe rais wa Tanzania.., ako na akili mingi, anaongea ukweli, wana CCM hovyo!! ichoboy01 kura yako pea huyu jamaa😂 😂 😂 😂 😂 😂The best 007 hii ndio nchi unataka nizaliwe ndani.., 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2732490
Karibia wote humu wamekua wendawazimu wa kujitoa ufahamu.., waelewe, ukweli mchungu😂😂😂😂Mnapenda kukana vya kwenu Sana🤣
Sidhani kama huyu mpuuzi uliopost ana akili hata kuliko mimi, ni mchumia tumbo tu.. anyways him again.. 👇Pigieni huyu jama kura awe rais wa Tanzania.., ako na akili mingi, anaongea ukweli, wana CCM hovyo!! ichoboy01 kura yako pea huyu jamaa😂 😂 😂 😂 😂 😂
Na lazima uwe unajuana na CCM ndo uafford kuishi huku 🤣🤣🤣Mtaani kwa bakhresaa masaki💥View attachment 2731721View attachment 2731728
Sidhani kama huyu mpuuzi uliopost ana akili hata kuliko mimi, ni mchumia tumbo tu.. anyways him again.. 👇
View: https://youtu.be/aKLw4BlxfhQ?si=xcbemR9Vg2oN0Eyl. 🤣🤣🤣 Siasa za Tz ni upuuzi tu, wenyewe wanaita ni siasa za maji taka.. hao wapinzani wapo kukosoa lakini hawajui wanataka taifa lielekee dira ipi ..huyo kichaa alikua anabeza hapo Magufuli kujenga barabara, mashule na infrastructure zingine akidai hayo ni maendeleo ya vitu .. 🤣🤣 ndio huyo tumpigie kura.?
🤣🤣🤣. Wewe na huyo jamaa wote ni vichaa .. sasa utakua na madaktari+vifaa halafu hao wagonjwa watatibiwa chini ya mti au.? Infact uzalishaji wa madaktari pamoja na ununuzi wa vifaa tiba ulikua unaenda sambamba na ujenzi wa hizo hospitals, ukitaka uthibitisho upo..Wacha wewe, the guy has spoken the truth na ako na akili kukushinda wewe mara zaidi ya milioni, ameongea fact! kwa hii clip yako anaonyesha fursa kibao munazo, wacha wewe! boss uliskiza ama unapost reply tu hovyo hovyo.., huyu anazungumzia jambo jema sana, infact ana support na ku expound reasoning yake pale bungeni,., boss kubali yaishe, sio kila wakati unapinga tu.., this guy is reasoning well.., wewe hapa hautoshi, patia huyu kura yako wacha ufala wewe.
Checkout his points, the guy ako sawa sana..,
- Mwalimu Nyerere ali focus kwa maendeleo ya watu, wanakua na sound mind, watu wenye uwezo wa kufikiri kimantiki..,
- Unajenga hospitali na vifaa na madaktari hakuna.., huduma hovyo, madarasa mnajenga ila wanafunzi wanalishwa bogus, fikra zenu humu ni dhahiri dogo 😂 😂 😂 😂 😂 ., jenga watu, tujenge watu kifikra! POINT🔥🔥🔥🔥
- "tuna watu mbu mbu mbu.., mnajenga miundo mbinu lakini watu hawana uwezo wa kutumia zile infrastructure kuwasaidia.",
- "Badala ya kuka na kulaumu Kenya, tutengeneze mazingira mazuri sisi ni giant hapa"
- Tunataka viongozi wenye wako na vision ya miaka mia mbili mbele...,
🔥🔥🔥Arusha 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
View attachment 2732555View attachment 2732556View attachment 2732557View attachment 2732558