Magari haya ruhusiwi lamu island na ndio maana ilipewa taji la 'best preserved Swahili town'New pictures huzitaki kwani au ww kuokota picha google ni kawaida kwako 🤣🤣🤣
View attachment 2730099View attachment 2730100
Na ajabu ya dunia hii mpaka leo lamu wanatumia punda na hakuna gari 🤣🤣🤣 na punda za lamu zina majina ya magari ndio ajabu kuna mpaka punda ni BMW na benz na ukibisha sema tu
View attachment 2730102View attachment 2730103
Sasa mbona twitter unalialia humtaki ama unadhani hatuna ushahidi🤣🤣🤣Ww rais wa tanzania anakuhusu nn?? Kwann msipambane na rais wenu ambae nchi inafkia hatua 2023 nchi nzima umeme unakatika mpaka ikulu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2730106
Tafuta comment ambayo mm hua nalia unafkiri sisi ni kama nyie humu munajikaza kisabuni mukienda twitter munaenda mtukana rutto😅😅😅😅😅Sasa mbona twitter unalialia humtaki ama unadhani hatuna ushahidi🤣🤣🤣
Leta hilo katazo kua magari hayaruhusiwi lamu 🤣🤣🤣 kwan ukisema kuna umaskini uliokithiri unapata tetekwanga au?Magari haya ruhusiwi lamu island na ndio maana ilipewa taji la 'best preserved Swahili town'
Derailment,Nini hiki ?
Ila kila mtu neutral anasema Nairobi is miles away kushinda dar. Hii yenu ni blind patriotismUkiona ule uozo ulipo naipori... Halafu ndio umekaririsha kibera ni pazuri kuliko Dar ndio unaweza jiuliza Dar itakuwa katika hali gani!?
Sasa ukikutana na reality ndio hapo jamaa ana geuka mwehu tu kurusha propaganda za hovyo hovyo.
Internet imewaumbua sana Hao kenge wa north.
Huo ni uwanja wa Cricket Nairobi Club, lakini huyo punguani kubishana naye ni kuharibu wakati.inaitwa planning kwa kizungu najua watanzia hamkielewi
Ila kila mtu neutral anasema Nairobi is miles away kushinda dar. Hii yenu ni blind patriotism
Kwaivo dar sehemu inayoweza kulinganishwa nayo Nairobi ni kibera?Kuna sehemu yoyote Dar unaweza linganisha na kibera?
Hiyo mtu kufika nairobi na kukaa kwenye conference hall moja na kurudi airport ndio atasema amefanya exploration ya mjini na viunga yake?
Hivi hapo Dar hakuna conference hall moja yenye mtu anaweza kaa na akarudi airport alafu aseme Dar ni pazuri kuliko Nairobi? It's even more interesting kwa sababu hata hizo conference halls na Airports mnasema mnazo nzuri kuliko Nairobi. 🤣Kuna sehemu yoyote Dar unaweza linganisha na kibera?
Hiyo mtu kufika nairobi na kukaa kwenye conference hall moja na kurudi airport ndio atasema amefanya exploration ya mjini na viunga yake?
Eti Nairobi wanakaa kwa mahoteli na dar wanaizunguka yote ndo maana manaprefer Nairobi over darHivi hapo Dar hakuna conference hall moja yenye mtu anaweza kaa na akarudi airport alafu aseme Dar ni pazuri kuliko Nairobi? It's even more interesting kwa sababu hata hizo conference halls na Airports mnasema mnazo nzuri kuliko Nairobi.![]()
. Ushawahi sikia ujinga kiasi hiki?Akiwa Jf anamsifu suluhu huko twitter hamtaki🤣🤣🤣Tafuta comment ambayo mm hua nalia unafkiri sisi ni kama nyie humu munajikaza kisabuni mukienda twitter munaenda mtukana rutto😅😅😅😅😅