NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,975
Halafu mwambieni Khaligraph,yule bwana Omollo asirudie tena kutest mitambo dada tu kamtia K.O,yuko analialia tu Instagram huko hajui afanye nini😂
View: https://youtu.be/OVROAgR0v5c?si=__a497PDvD63rDiK
Mama Omollo_ Rosa Ree.
Ila Khaligaph amewachangamsha sana nyie. Yani sahii kila ,mtandao Tz ni Khaligaph. Mimi huona Wabongo wengi wakiongea uchafu kuhusu Kenya yet hakuna mwenye anashughulika kureply, Hapo kwenu mkiskia tu chochote kimesemwa na Mkenya kuhusu Bongo nchi yote hiyo ndio story. 🤣 🤣