Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe kenge mwambie huyo kwamba ameshazeeka... Bazenga wa kiafrika kuwa hivi Sio ujanja ni ufala

A very stupid reasoning., ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wale sio tu wageni wa conference idiot, wao ni watu wa kutembea tembea na kukagua services, amenities na infrastructure, wamechambua kila kona ya Dar, unajikosesha ufahamu tu wazi wazi, mko nyuma sana, hii kiswahili yenu kuleni wenyewe haiwasaidii kwa lolote๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, ni ujinga, ukosefu wa maarifa, na kutokujua kwingi ndio mtavuja humu mkitumia hiki Kiswahili chenu mufti๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 

Attachments

  • IMG-20230828-WA0006.jpg
    IMG-20230828-WA0006.jpg
    94.6 KB · Views: 2
Huu Mkeka wa Mbweni ukiukuta Karen nafunga account JF.
 
Ujenzi wa hospitali ya jeshi dodoma kwenye hatua za mwisho๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟView attachment 2731931View attachment 2731932View attachment 2731933View attachment 2731934View attachment 2731935
Aii Yawa!!! Hii nchi tamu sana, kila kona mambo mazuri kila siku. Ebu kila Mbongo aliyeko humu kabla ya kuanza kazi asubuhi hii ajipige kifua mara tatu huku akisema โ€œSisi Ni Miamba Ya East and Central Afrikaโ€ ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Huu Mkeka wa Mbweni ukiukuta Karen nafunga account JF.
Nimewaaambia mm karen ikitoboa kwa mbweni mm nafunga acc mpaka sasa hvi wanaruka ruka tu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… mwengine kaokota sijui picha za wapi anataka kupunguza stress na usifkiri hawajui ukweli wanajua vzr sana
 
Back
Top Bottom