Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya ni watu desperate na dhaifu sana duniani. Ni Watumwa wa nafsi zao!! Ni aibu sana taifa la namna hii, kila kitu kizuri linaiba na kujitangaza bila aibu, ni tabia ya kimalaya sana, demu mmoja hivi cha wote anayeshobokea statuses na yuko tayari kutoa chochote akipate😏🤨

1BA6BA3C-C432-4C6B-8071-2C926219BBD7.jpeg
 
Wakenya ni watu desperate na dhaifu sana duniani. Ni Watumwa wa nafsi zao!! Ni aibu sana taifa la namna hii, kila kitu kizuri linaiba na kujitangaza bila aibu, ni tabia ya kimalaya sana, demu mmoja hivi cha wote anayeshobokea statuses na yuko tayari kutoa chochote akipate😏🤨

View attachment 2730669
Unaonekana kua na stress za maisha manake hio post ni harmless.
 
Kuna ule uchafu walijenga NMS pale taoo wanauita ultra modern city bus stage huwa nikiangalia nacheka sana. Sasa hii ni 10km from the city centre, na ziko za kutosha za aina hii. Yaani kwenye bus stages tunawakalisha kuanzia up country buses, city buses na BRT bus terminals. Hapa hakuna mjadala.

Hawa wenzetu hadi up country buses unaomba msaada kwenye tuta ukitaka kushuka, hakuna stages, na zilizopo ni vituko😅😅
 
Wanabomoa tena watu walipiga tu pesa kidogo sasa wanabomoa ili wengine wapige pesa za kubomoa na wengine wapige pesa za mradi mwengine 😅😅😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom