Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Booming Kenyas residential architecture

20230829_154457.jpg

Booming Tanzanias residential architecture
images (51).jpeg

Goba, 20km from the CBD

View: https://youtu.be/h9SARepxh1U?si=1HVA4kgo3BKUH1tB
 
🤣🤣🤣. Wewe na huyo jamaa wote ni vichaa .. sasa utakua na madaktari+vifaa halafu hao wagonjwa watatibiwa chini ya mti au.? Infact uzalishaji wa madaktari pamoja na ununuzi wa vifaa tiba ulikua unaenda sambamba na ujenzi wa hizo hospitals, ukitaka uthibitisho upo..

Suala la ujenzi wa miundombinu ya barabara, reli, meli na BRT, hizi zote zilitekelezwa Ili ku easy transportation , wachina wako na statement moja wanasema "if you want development build roads first" and that's the reason hata serikali yenu inaminyana kujenga hizo infrastructures. Zingatia hii "huwezi link Industrial sector na agricultural sector pasipokuwa na miundombinu wezeshi, such as roads and railways..

Hiyo point namba tatu aliongea upuuzi na chili tu, kila aina ya transportation system Tz inaongozwa na waTz n we do better, hili hata mtoto mdogo aneza thibisha..

Hizo points zingine ni upuuzi wote na chuki kwa aliyekuwa mtawala since alifanya yote hayo anayoropoka hapo .
Wewe ni kichaa, the guy hajapinga maendeleo, ila anataka holistic development, an all round, well balanced maendeleo, sio tu infrastructure na mnaendelea kujaza ma mbu mbu mbu kwa taifa wewe ukiwa mmoja wao, liko wazi sana 😂 😂 😂 😂 😂 😂 , mbona wewe ni kichwa ngumu hivi? kwani uelewa hauna?..., ina maana na wewe pia ni kama wale watoto asili mia arubaini na mbili(42%) wanaozaliwa na akili zilizo duaa kulingana na takwimu aliyo nukuu mjumbe, hawana uwezo wa kifikra na uelewa, u are totaly myopic, hauna uewelewa wa mambo.., lack of logic and critical thinking.
 
We jamaa vipi wewe, unaelewa lakini ninachozungumza we kichaa 🤣🤣🤣. Hakuna sector iliachwa nyuma wakati wa utawala wa mjomba so hizo zote anaongelea huyo msigwa ni porojo tu
 
Infrastructure zipi unazungumzia mnazo? Flyover? Infrastructures tunazo sisi sio nyie, tuna electrified railway, tuna cable stayed bridges, tuna BRT nyie hamna vyote hivyo alafu unasema mna infrastructures 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hapa East Africa obviously ni Kenya, Tanzania taifa lenye raiya hawana sauti, ufukara unaotokana na ushamba na kutokujua mengi, Kenya has better infrastructure, fast internet, vast business networks, better education, good exposure, best communication network, reforming/progressive political landscape(kuna mabadiliko), sio hiyo CCM tangu mababu hamna reforms..,
Uganda a military state, poor infrastructure, limited networks.,
Rwanda is overrated.., been there, apart from cleanliness and organization bado sana., hakuna mengi ya kufanya kule.., kisha they see u as an outsider.., wako reserved sana.,
Burundi same whatsapp group na Tanzania kifikra na maisha..,
Infrastructure zipi unazungumzia mnazo? Flyover? Infrastructures tunazo sisi sio nyie, tuna electrified railway, tuna cable stayed bridges, tuna BRT nyie hamna vyote hivyo alafu unasema mna infrastructures 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nimependa jinsi Watanzania wenye akili kwa ule uzi wa bosi wa viwanja kufutwa kazi after stima kukatika. 🤣

1.png
 
Back
Top Bottom