chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
Kwanza mfuko wao wa social security fund ni mmoja tu ambao ndio huo wa private sector na government sectorNdoto za mchana.Hakuna uchumi wa hivyo
Pamoja na hivyo bado una pesa ndogo sana ukilinganisha na idadi yote ya wachangiaji kutoka sector za umma na binafsi kwa PAMOJA,
Wana jumla ya trillion 6 tu kwa mfuko wa sectors zote wakati Tanzania, mfuko mmoja tu wa PSSSF una trillion 9 na huu ni mfuko wa serikalini ambao hauna wanachama wengi kama NSSF mfuko wa private sector, Kunyaland ina kawaida ya ku fake data sana ila akili za kufake ndio hawana
