Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatuendi na mama 2025.

Huwa inafurahisha sana kuona watu kama kijana wangu ChoiceVariable wanadhan mama ataendelea kuwa Rais 😀.. nilishasema mara nyingi tu.. ikifika 2025 nitawakumbusha
Haijaisha Hadi imekwisha,kwanza Mimi ndio ningekuwa SSH ni die or live, yaani JK kwenye Mkutano live kabisa anaongea blaa blaa aah wapi ningetumia huo ukaribu wangu nae kumfix kama kina Compare na Sankala unless niwe sina nia ya kuendelea.

Hakuna mtu ambae Hana watu royal kwake sio kukaa kiboya boya,hata Rais wa Angola wa Sasa alimgeuka aliyemwachia madaraka.
 
Iringa

20230814_082944.jpg
 
Kuna mtu kacomment ukweli hapo...kuwa wanatafuta attention na views....

Comparison zao ni zs kijinga...hiv unaweza compare Kenya na south kweli?
That one must be a Tanzanian, probably from this thread. 95% of the comments including those from SA are positive. Sema tu unaumwa kusikia Kenya ikiwa appreciated.
 
Back
Top Bottom