Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,905
- 9,730
Manufaa ya kuanguka kwa shilingi
Chawa wa mama.. kijana wangu ChoiceVariable nae kapita kimyakimyaGeza Ulole hivi huyu Abdul Halim Hafidah Ameir ni nani na anamiliki kampuni ipi kuweza kuwa na uwezo wa kukutana na Museveni?
Hahahaha, ninyi watu mpo na shida sana, Shilingi ya Kenya ikianguka " is a good thing", lakini Shilingi ya Tanzania ikianguka" that is very bad thing".Manufaa ya kuanguka kwa shilingi
Hilo la nepotism linaweza kushughulikiwa, tatizo ni pale watu kama JK kuwa "in bed" na watu kama klaus schwab.Museveni ni wale wale mwenye mtoto generali UPDF, mke Waziri na binti yupo pia!
Klaus Schwab ni nani?Hilo la nepotism linaweza kushughulikiwa, tatizo ni pale watu kama JK kuwa "in bed" na watu kama klaus schwab.
Geza Ulole hivi huyu Abdul Halim Hafidah Ameir ni nani na anamiliki kampuni ipi kuweza kuwa na uwezo wa kukutana na Museveni?
Unataka zikae hivi sivyo?🤣😂😂😂😂 Bila filters Nairobi huwezi kuangalia mara 2 kama sura ya marehem
Way better than thisUnataka zikae hivi sivyo?🤣
![]()
Only 6% of Nairobi looks like this. 80% of Dar looks like the photo I posted.
Only 6% of Nairobi looks like this. 80% of Dar looks like the photo I posted.
Chairperson of the World Economic Forum.Klaus Schwab ni nani?