Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


One of many things I love about my lovely Tz,
Is that mambo yote mzuri ya mjini ni 100% yetu . Tofauti kabisa na wale wacundustano: l
Bandari ya mchina, outdated sgr ya mchina, majengo ya nairobi yote ya mchina,
Expressway ya mchina, kilimo ni Mzungu ,
They only own Poverty.
 
Yaani Mbunge wa EA asijue delegation inayokwenda kuonana na rais wa nchi mwanachama wa EA? BTW sijui kwa nini aliweka hako ka video?

Nilishasema mwanzo na Nasema tena ,
Nampenda sana Mama Samia, toka moyoni Mwangu. Lakini nafasi hii ni kubwa sana kwake. Tumvumilie na tumwombee atimize takwa la kikatiba,
2025 Mungu atatupa mtu sahihi.
 
Nilishasema mwanzo na Nasema tena ,
Nampenda sana Mama Samia, toka moyoni Mwangu. Lakini nafasi hii ni kubwa sana kwake. Tumvumilie na tumwombee atimize takwa la kikatiba,
2025 Mungu atatupa mtu sahihi.
Huwa inafurahisha sana kuona watu kama kijana wangu ChoiceVariable wanadhan mama ataendelea kuwa Rais 😀.. nilishasema mara nyingi tu.. ikifika 2025 nitawakumbusha
 
Back
Top Bottom