Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzungu akiwekeza Tz alafu awekeze Kenya Tena unachukulia ni sofa kwenu?
Huyu ndio huyo mzungu? 🤣🤣🤣

Screenshot_20230814-120217.jpg
WhatsApp Image 2023-08-11 at 14.10.10 (1).jpeg
 
Kuna mtu kacomment ukweli hapo...kuwa wanatafuta attention na views....

Comparison zao ni zs kijinga...hiv unaweza compare Kenya na south kweli?
Mbona ndio trendy ya Youtubers wengi recently hasa Nigerians 🤣🤣 utashangaa wanaweka headlines za 'culture shock between Kenya and Nigeria' wanaitukana Nigeria weee na kuisifia Kunyaland kama ulaya for the sake of views na kukuza accounts zao sababu wanajua mashakahola ukiyasifia tu mambo ya uongo yanaitana kama manyumbu na kusubscribe channel yako 🤣

Utashangaa mtu anasema culture shock between Kunyaland na Nigeria lakini haoneshi video wala picture hata 1 akiwa Kunyaland 😂😂😂
 
Surely?
Wakundustan wenzio wanakiri nyumba na majenzi kiujumla hamtukuti, angalia hii video uone nyumba za vijiji vya Tanzania linganisha na zile shacks zenu za mabati
View attachment 2717022

Nilishawahi post hapa nyumba za vijijini huko Bukoba zaidi ya 1400km kutoka Dar...
Kuna jamaa mmoja wa nanyuki alikuwa anapost vijiji vyao baadae akapotea...

Vijiji vya Tanzania viko poa sana kwa mikoa mingi...

Hata hawa wakenya wamakiri kuwa huko Bukoba pako developed kwa upande wa makazi
 
Back
Top Bottom