Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,887
- 103,753
mbona kote barabara za vumbi?
Mkurugenzi Mtendaji = Managing Director.
How important is the road on the Tanzanian side to Tanzania compared to the one on the Kenyan side to Kenya? Alafu njia zenyewe zote za udongo bado zinamtia kiwewe.🤣
How important is the road on the Tanzanian side to Tanzania compared to the one on the Kenyan side to Kenya? Alafu njia zenyewe zote za udongo bado zinamtia kiwewe.![]()
Sasa nyumba moja ya mabati ndio mandhari?Ume ignore mandhari ya sehemu zote mbili, upande wa Tanzania ukiwa unapendeza halafu unaanza kuniuliza mambo ya barabara pumbav.
Sasa nyumba moja ya mabati ndio mandhari?
Kama nilivyokueleza, hiyo sehemu ina manufaa zaidi upande wa Tanzania huku upande wa Kenya haina ndio maana hakuna settlement side ya Kenya. Mnajisifia vitu vya ujinga.
Nyumba za mabati hubaki Ukunyani! Ile ni nyumba ya matofali with green iron sheets roof! Compare hiyo nyumba na genge lipo Ukunyani!Sasa nyumba moja ya mabati ndio mandhari?
Kama nilivyokueleza, hiyo sehemu ina manufaa zaidi upande wa Tanzania huku upande wa Kenya haina ndio maana hakuna settlement side ya Kenya. Mnajisifia vitu vya ujinga.
Managing director hawezi kuwa owner? 😂😂😂 Huyo jamaa namfahamu personal life indeedMkurugenzi Mtendaji = Managing Director.
Managing Director na owner wapi na wapi? Ulifika darasa la ngapi wee mwehu?
Kwa hivo 'green iron sheets' ni mkojo wako?Nyumba za mabati hubaki Ukunyani! Ile ni nyumba ya matofali with green iron sheets roof! Compare hiyo nyumba na genge lipo Ukunyani!
Anawapanga mafala na watamuamini