Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,895
- 103,759
Sasa nenda ukawaulize WB imekuwaje hapa 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣Ukiskia mtu akisema eti barabara za Nairobi zina vumbi, muonyeshe Estate za kifahari za Dar. Hii hapa Mbezi eti 🤣
![]()
Exports za Tanzania zimepita za Kenya hasa kwenye "Manufactured goods" ndani ya miaka miwili iliyopitaExports zenu Africa zimeongezeka na ngapi?![]()
Kwahiyo SGR to Malaba imekamilika hivi Sasa mnageukia ya Ethiopia?, Nothing can work in a failed states, Kenya and Ethiopia all are failed states mainly due to tribalism on both countries.Habari mbaya kwa wajukuu wa maji maji rebellion
Mbezi beach so far. 👇Huko estate huwezi pata lami. Ni vumbi tupu. Lami ni kwa main roads tu. Hii ndio Estate yao ya kifahari eti.
![]()
Leta hoja mezani mzee acha maneno ya kwenye khangs!! Mtanzania gani kakutukana hapa? Unatapatapa mfa maji. Tanzania is no longer your level soon this will be revealed dunia nzimatanzanians wamechukua hii battle vi serious na makasiriko na matusi 😛mnakosa usingizi mkirushia Kenya matusi
Hatuendi na mama 2025.
Wow .. nilikua nataka uongee hyo statement kwahiyo umekuja kwenye mtego wangu. Barabara za lami mbezi beach ni nyingi tu kando na hiyo Bagamoyo road. 👇Bagamoyo Road - the main road passing through Mbezi. Kama nikivyosema ukitoa main roads zingine zote vumbi tupu.
Aliirudishaje utumwani? Ukiwa na jicho linaloona mbali huwezi mdharau JK.Leo hii tunazungumza Kila mkoa unafika kwa lami.Je ni mikoa mingapi ilikuwa na hiyo access 2005 kurudi nyuma.Kulikuwa na chuo kikuu kikubwa kimoja tu TZ Leo ipo na UDOM pia.Leo unazungumzia miji mingi TZ imeboreshwa kwa kujengwa barabara za lami ni mpango ulioanza wakati wake.Mkapa aliisukuma sekta binafsi JK akaikuza.Leo tunazungumza skyscrapers Dar ni wakati wa JK ndipo yalijengwa kutokana kukua kwa real estate iliyokufa wakati wa mjomba lakini sasa inarudi Tena.Kila kiongozi Huwa na mema na mabaya hivyo tuchukue mazuri mabaya tuachane nayoKikwete anajisifia kupewa cheo cha shukrani na masters wake kwa kuirudisha nchi yetu utumwani.
Watu wa Magufuli wapuuzi sana! Na makesi yote aliyotuingiza kwa kuvunja mikataba kijuha watu wanamsujudu humu!Aliirudishaje utumwani? Ukiwa na jicho linaloona mbali huwezi mdharau JK.Leo hii tunazungumza Kila mkoa unafika kwa lami.Je ni mikoa mingapi ilikuwa na hiyo access 2005 kurudi nyuma.Kulikuwa na chuo kikuu kikubwa kimoja tu TZ Leo ipo na UDOM pia.Leo unazungumzia miji mingi TZ imeboreshwa kwa kujengwa barabara za lami ni mpango ulioanza wakati wake.Mkapa aliisukuma sekta binafsi JK akaikuza.Leo tunazungumza skyscrapers Dar ni wakati wa JK ndipo yalijengwa kutokana kukua kwa real estate iliyokufa wakati wa mjomba lakini sasa inarudi Tena.Kila kiongozi Huwa na mema na mabaya hivyo tuchukue mazuri mabaya tuachane nayo
Moja ya marais wa hovyo. Ni mtu aliyetuletea matatizo makubwa sana nchini.Kikwete kwenye video anajisifia kupewa cheo cha shukrani na masters wake kwa kuirudisha nchi yetu utumwani. Eti "mimi ndiyo mwafrika wa kwanza", akili za kitumwa tumwa hizi.
Same stories year in year out tumechoka.Habari mbaya kwa wajukuu wa maji maji rebellion
Skyscrapers, ni vitu vidogo sana na wala haviakisi maendeleo halisi ya nchi. Hizo barabara JK aliendeleza tuu mikakati iliyoanzishwa na serikali ya Mkapa baada ya Magufuli (akiwa ujenzi), kuja na wazo la kuanzisha mfuko wa barabara (Tanroads), hata hivyo hongera zake (JK) kwa kuiacha mikakati iendelee, angeweza kuivunja.Aliirudishaje utumwani? Ukiwa na jicho linaloona mbali huwezi mdharau JK.Leo hii tunazungumza Kila mkoa unafika kwa lami.Je ni mikoa mingapi ilikuwa na hiyo access 2005 kurudi nyuma.Kulikuwa na chuo kikuu kikubwa kimoja tu TZ Leo ipo na UDOM pia.Leo unazungumzia miji mingi TZ imeboreshwa kwa kujengwa barabara za lami ni mpango ulioanza wakati wake.Mkapa aliisukuma sekta binafsi JK akaikuza.Leo tunazungumza skyscrapers Dar ni wakati wa JK ndipo yalijengwa kutokana kukua kwa real estate iliyokufa wakati wa mjomba lakini sasa inarudi Tena.Kila kiongozi Huwa na mema na mabaya hivyo tuchukue mazuri mabaya tuachane nayo