Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua watu wengi hawajaelewa ila alivopigana magu ni vita vya uchumi moja kwa moja ndio maana unaona leo mambo mengine yanakwenda kama kunawa vile kwasababu kuiweka ile misingi na kubadilisha dira ya nchi ilikua sio jambo jepesi kabisa
Nchi ilikua imezoea mambo ya hovyo ya kuchekacheka na kauli za bajeti finyu.....my foot!

Mpuuzi sana Kikwete!
 
Nyegezi bus terminus 👇
IMG_20230630_180231_047.jpg
IMG_20230630_180437_394.jpg
IMG_20230630_180352_151.jpg
IMG_20230630_180304_911.jpg
IMG_20230630_181656_380.jpg
IMG_20230630_180612_567.jpg
IMG_20230630_180716_161.jpg
IMG_20230630_181006_965.jpg
IMG_20230630_181048_907.jpg
.. hii stendi ni nzuri balaa Halaf ni bounge la jengo... mwaiofhawaii. Njoo ujifunze Mwanza
 
joto la jiwe haki za binaadamu ziko wapi kaka juzi kapigwa risasi kijana kutoka asia hapo france na dunia imekaa kimya na hakuna media za wazungu zikionesha ila moto umewaka vibaya sana lakini hutaskia mahakama ya ya uhalifu wala haki za binaadamu wa haki za nyoko [emoji28][emoji28]

Ingekua ni africa au adui wao ungeskia dunia nzima imesmama [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Mkuu upo "biased" Sana, yule mtoto alipigwa risasi na polisi, hilo lilikua ni kosa na polisi mwenyewe amekamatwa yupo ndani, Sasa hapo haki za binadamu zinakujaje wakati ni kosa la jinai na mtenda kosa amekamatwa?.

Hawa waandamanaji hawafanyi maandamano ya amani, wanachoma magari na kufanya uharibifu mkubwa Sana, lakini hakuna hata mmoja aliyepigwa risasi au kuuliwa, ingekua Afrika, Uarabuni, au nchi zingine hivi Sasa zaidi ya waandamanaji 300 wangekua wameuliwa, Kama ilivyotokea huko Iran hivi karibuni.

Kama kawaida Iran ilikua inasingizia nchi za Magharibi kuwa ndio zimechochea maandamano, lakini huko Ufaransa kamwe hawapeleki lawama kwa nchi yoyote, wao wanajua hilo ni tatizo lao na wanalitafutia ufumbuzi wao wenyewe.

Ninakuhakikishia ingekua ni Afrika ungesikia "mabeberu hao ndio wanaochochea ghasia, hawa wanaofanya fujo ni vibaraka wa nchi za Magharibi". Juzi tu maandamano kidogo tu ya kupinga DPW wewe binafsi ulishaanza kusema "Ingekua DPW ni wazungu wasingeandamana".

Wiki ijayo Kenya wanaanza maandamano, hata bila kuharibu kitu chochote watapigwa risasi na polisi hata Kama maandamano yatakuwa ya amani. Mkuu lazima ukubali kwamba wenzetu demokrasia na haki za binadamu wapo mbali Sana, tunapaswa kujifunza toka kwao.
islander M

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mama Samia kafanya miradi mingi sana sema watu wanachukulia poa maana hawaamini kama atafikia level ya Magu lakini kiukweli kasi tunayoenda nayo ni ile ile au zaidi.
Wivu chuki na kuwabania Sukuma gang Simon

Hakuna Rais Toka uhuru aliyefanya miradi Mingi Kwa sekta zote Kwa mda mfupi kama Samia,hakuna Cha Mwendazake Wala nani.Samia reformist na mliberali wa ukweli.
 
Unajua watu wengi hawajaelewa ila alivopigana magu ni vita vya uchumi moja kwa moja ndio maana unaona leo mambo mengine yanakwenda kama kunawa vile kwasababu kuiweka ile misingi na kubadilisha dira ya nchi ilikua sio jambo jepesi kabisa
Vita gani acha blaa blaa ,investors wamerudi Kwa sababu ya Imani ya Rais aliyepo,nani alete pesa zake mumpore?
Toka mwaka juzi saizi Kilimo ni fursa Sasa subiria mwehu mwingine atakuja baada yake utaona atakavyovuruga..

Saizi mnapiga na picha za majenga ambayo miaka yote ya Mwendazake hamkuthubutu hata kuweka picha hata Moja mkijificha kwenye kichaka Cha kujenga viwanda ambavyo hata havikuwepo,Leo hii Kila Kona Kuna utitiri wa viwanda..

Nawaambiaga Vijana mtaani wasipotoka awamu hii wahesabu umakini miaka ya baada ya Samia maana na hakika atakuja mjamaa mwingine kuleta blaa blaa za Uzalendo na mabepari the likes ofho kina Shivji,Polepole,Mpina na watu wenye mentality za kijima kama hao.
 
Waendeleze njia nane hadi Posta toka ubungo maana Morogoro road kipande cha ubungo posta ni kero sana pia
Actually ukikaa na kuwaza vizuri Dar inahitaji vyote , ndo maana nilitamani BRT iende sambaba na kuweka Njia nane kwenye phase zake ,lakini naona budget imeshindikana .Ni Bora wafikirie kabisa na kuacha reserve ya kutosha kama hela haitoshi sasa .Maana Njia 8 to 10 zinahitajika in 10 to 15 years time
1.Posta to Kibaha
2.Posta to Vikindu
3. Posta to Bunju
4 . Posta to Gomz

Phase zote 6 za BRT Zitaisha before 2030 hiyo ndo plan ..Na baada ya 2025 we are likely to see Mwanza , Dodoma na Arusha plus or minus Mbeya Kuanza kupata BRT.

Wakati huo Dar wataanza kujenga Light Railways ..Hii itasaidiana sana kwenye Mass Transit
 
Me simuelewi kabisa Matindi, air Tanzania watu wanajiamulia tu mambo na yeye yupo, delays nyingi zinasababishwa na uzembe, eti leo apewe tunzo kwa utumishi upi?
Mimi mwenyewe kiukweli simuelewi , na sijui kwanini kapata hyo award , ila Delays nying za ATC zinaletwa na kutokuwa na Ndege za kutosha na kuwa na route nyingi ..

1.Airbus A220 Zimetufelisha sana aiseh..hasa hao pratt and whitney wanaotengeneza Engine zake.. Sasa hivi air Tz ina operate Airbus 1 instead of 4 ..

Mfano leo kuna trip 3 zinazohitaji A220, Ndola /Lubumbashi, Moroni na Harare/Lusaka .Hapo a220 hyo moja ikizingua watu wa kwenda Harare inabidi wasuburie Q400 itakayokuwa free , au wawashe 787 kuwapeleka .

2. Serikali kuchukua au kukodisha ndege za ATC muda wowote hii inasababishaga sana delays
 
Yaani lazma mjenga suburbs zenu shagalabagala??
Hakuna ata kuuza plots kwa mpangilio ata 20%!!
Hii nchi ni slum tupu.
Ww na satelite nani anajua zaidi??😅😅
Satelite haioni slum tanzania lakini ww unaona nani mwerevu zaidi??

Dunia nzima inajua kenya ndio kinara wa slums kuna mtu hajui hilo??😅😅😅😅
 
Ww na satelite nani anajua zaidi??[emoji28][emoji28]
Satelite haioni slum tanzania lakini ww unaona nani mwerevu zaidi??

Dunia nzima inajua kenya ndio kinara wa slums kuna mtu hajui hilo??[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Demokrasia iliyokomaa

Hivi Uganda au Tanzania mahakama inaweza kumpa haki mwanahabari au chombo chochote Cha habari kuchapisha na kutangaza haki ya wapenzi wa jinsia Moja kwasababu tu wako huru kufanya hivyo hata Kama katiba ya nchi inatakaza mapenzi ya jinsia Moja?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom