Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

An apartment in nakuru
FB_IMG_16881439912991717.jpg
FB_IMG_16881439839823526.jpg
 
Mama Samia kafanya miradi mingi sana sema watu wanachukulia poa maana hawaamini kama atafikia level ya Magu lakini kiukweli kasi tunayoenda nayo ni ile ile au zaidi.
Kaka Magu ni hatari sana usimchukulie kikawaida kawaida, hivi ninavyokuambia mm ni mfuasi wa mwalimu Nyerere yani nilizaliwa tu nampenda huyo mzee kabla sijamfuatilia, baada ya kumfuatilia ndio nikampenda zaidi, ila Magu ni hatari sana mkuu, ile ilikuwa computer sio mtu wa kawaida yule ni
 
Kapambana sana ,kumbuka miradi ya JPM bado kadhaa haijakamilika,anapambana na Yake na alioanzisha

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ilikua ni lazma apambane kwasababu mfumo ulimtaka afanye hvo kwa vile miradi mikubwa ilikua ishaanza ambayo itahitaji na miradi endelevu vile vile mfano SGR na BRT ni lazma iendelee kwasababu ilishaendelezwa na miradi mingine hvohvo
 
Kaka Magu ni hatari sana usimchukulie kikawaida kawaida, hivi ninavyokuambia mm ni mfuasi wa mwalimu Nyerere yani nilizaliwa tu nampenda huyo mzee kabla sijamfuatilia, baada ya kumfuatilia ndio nikampenda zaidi, ila Magu ni hatari sana mkuu, ile ilikuwa computer sio mtu wa kawaida yule ni
Unajua watu wengi hawajaelewa ila alivopigana magu ni vita vya uchumi moja kwa moja ndio maana unaona leo mambo mengine yanakwenda kama kunawa vile kwasababu kuiweka ile misingi na kubadilisha dira ya nchi ilikua sio jambo jepesi kabisa
 
alliens...
 
Huyu mzee Mwenyezi Mungu amuweke pema peponi, kuna watu hasa wapigaji walikuwa wanampinga sana ila sisi wafuasi wake ambao kipindi hicho tulikuwa ndiyo kwanza tunatoka chuo na hali ilikuwa mbaya sana lkn kwa maslahi ya taifa tukakubali mana Magu aligoma kabisa kuajiri ila sikuwahi kumkataa kabisa mana alikuwa anafanya mambo muhimu kuliko mm kupata ajira, tutamkumbuka sana miaka nenda rudi.
 
joto la jiwe haki za binaadamu ziko wapi kaka juzi kapigwa risasi kijana kutoka asia hapo france na dunia imekaa kimya na hakuna media za wazungu zikionesha ila moto umewaka vibaya sana lakini hutaskia mahakama ya ya uhalifu wala haki za binaadamu wa haki za nyoko 😅😅

Ingekua ni africa au adui wao ungeskia dunia nzima imesmama 👇👇👇👇👇
 
Back
Top Bottom