Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,047
- 35,228
Wale wasudan nasikia wanaenjoy sana maana awaamini walichokutana nacho pale MUHAS,wanajiona kama wapo mambele vileWanafikiri wasudani walibahatisha kuja Tanzania [emoji1241][emoji1787][emoji1787]