Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

BRT si kama kula githeri Shakaholas!Msije kulialia baadae maana mlishaanza,sisi tunasonga pata joto tu la phase ya kwanza na ya pili tu bado phase nyingine U/C
View attachment 2668658
View attachment 2668663
View attachment 2668668
View attachment 2668675
View attachment 2668677
View attachment 2668679
View attachment 2668680
Kuna kitu kinaitwa Transit Oriented Development (TOD) uendelezwaji wa corridor zote za BRT, project ya kwanza hii hapa soon kuanza,Gerezani Kariakoo
View attachment 2668724
Kwa info zaidi tazama video hii. kutoka DART

Tanzania hatuna masihara kbs! Battle mtaikimbia hii kama wengine waliokwisha kimbia 😃.

I bet BRT Phase 3 itasmama sana kwa kuzingatia tu key players wake kwny mradi husika;
Mhandisi Mshauri wa kwanza kwenye Road Works (Lot 1 ) ni SMEC asili ni Australia na ndiye alikuwa Mhandisi Mshauri kwenye awamu ya kwanza ya BRT, Kimara-Kivukoni na matawi yake mkandarasi akiwa ni Strabag
Mhandisi Mshauri mwingine kwenye Road Works ni Habconsult Ltd, huyu ni noma project zake zote zimesimama to name few PSSPF Tower (Blue Tower-Mawasiliano),Mlongazila Hospital, Golden Jubilee Tower etc na kuna future project ya ocean view mall wapi sijui tusubiri 😃 yuko nayo pitieni humu;
Habconsult Ltd watatu upande huo ni Mhandisi Consultancy Ltd
Kwenye upande wa Buildings (Lot 2) UNITEC ndo mhandisi mshauri ambaye kazi inayomuuza ya hivi karibuni ni SGR kipande cha kwanza na cha pili Dar-Moro-Moro-Makutupora (Kuanzia Tanzanite to Dodoma Terminus mwamba ni yeye) you can tell;
kwa baadhi yetu tuliopita krb na mradi unaona kabisa jamaa wako serious na kazi kuanzia equipments wanazotumia mpaka ubora wa kazi yenyewe swafi kbs tunachoomba kwenye vituo vyetu awamu ya tatu msitunyime gladding ya vioo kama walivyofanya kwenye awamu ya pili please! vituo vile vimepunguza thamani ya kazi kubwa mlioifanya.🙏🏿
 
Kisumu, Tz nzima nipe mji!! Hata Dar haiwezi pata Street levels kama hizi
20230630_020554.jpg
20230630_020609.jpg
20230630_020613.jpg

20230630_020619.jpg
20230630_020701.jpg
20230630_020833.jpg
 
Kijana wangu, ChoiceVariable kwa upeo wake atasema huyu prof nae ni kilaza

Aliyekwambia kwamba Akina Shivji,Lisu,Lema,Slaaa ndio wanastahili kufikiria Kwa niamba ya Watanzania wote ni nani?

Kwenye hii angle ya Bandari wanazingua,hao ni Wajamaa sidhani kama Wana jipya tena Kwa umri wao..

Hofu ya mabadiliko, haiwezekani Serikali imesema interests za Watzn zimezingatiwa ila hao Wajamaa wao Kila kitu wanapinga..

Mambo yenye shaka watayaona kwenye utekelezaji, makubaliano sio mkataba Wala hauna msingi wa kisheria..
 
Back
Top Bottom