joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Watu wangapi hadi Sasa wamepigwa risasi na kuuliwa kufuatia haya maandamano ya fujo?(violence?)Haki za binaadamu ziko wapi au ni za africa tu
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app