ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,414
- 88,506
Endeleeni kujifariji kwa upumbavu sisi tunazidi kuwaacha kimaendeleo.Yaani lazma mjenga suburbs zenu shagalabagala??
Hakuna ata kuuza plots kwa mpangilio ata 20%!!
Hii nchi ni slum tupu.
Tanzania maendeleo ni kote kote, Kenya ni Nairobi pekee.Nyegezi bus terminus [emoji116]View attachment 2674649View attachment 2674650View attachment 2674651View attachment 2674652View attachment 2674654View attachment 2674656View attachment 2674657View attachment 2674658View attachment 2674659.. hii stendi ni nzuri balaa Halaf ni bounge la jengo... mwaiofhawaii. Njoo ujifunze Mwanza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wivu chuki na kuwabania Sukuma gang Simon
Hakuna Rais Toka uhuru aliyefanya miradi Mingi Kwa sekta zote Kwa mda mfupi kama Samia,hakuna Cha Mwendazake Wala nani.Samia reformist na mliberali wa ukweli.
Naipori inazidiwa miundo mbinu hadi na Mwanza ndio wataiweza DSM kweli?Nyegezi bus terminus [emoji116]View attachment 2674649View attachment 2674650View attachment 2674651View attachment 2674652View attachment 2674654View attachment 2674656View attachment 2674657View attachment 2674658View attachment 2674659.. hii stendi ni nzuri balaa Halaf ni bounge la jengo... mwaiofhawaii. Njoo ujifunze Mwanza
Nchi ishajifia siku nyingi tuu iko kwenye oxygen inasubiriwa uamuzi wa kuchomoa pipes za oxygen na ratiba ya mazishi tuu.Harafu wanataka kushindana na Tanzania [emoji38][emoji38]
![]()
Kenya's development spend at lowest in 8 years
The government has increased the recurrent expenditure amid reduced revenue collection.nation.africa
Kwa hiyo Ile Dola bil.85 ni matazamia ya mwaka 2023 au?World bank wameshapasua huko
Ke gdp $113.4B
Tz gdp $75.7B
Hii ni kwa mwaka 2022View attachment 2674824View attachment 2674825
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ndio kkKwa hiyo Ile Dola bil.85 ni matazamia ya mwaka 2023 au?
Hatuwezi kufikia Kwa growth rate ya 5.2% tuliyonago Kwa Sasa,tukijitanidi by July Next year wakitia tutakuwa kwenye dollar bil.80 na sio zaidi ya hapo..
Mahesabu ya GDP hayako straight hivyo kama unavyofikiria kuwa 5.2% ya 75bn itakuwa 80. Ni fornula moja matata sana. Unaweza ukakuta GDP inaongezeka kwa 5.2% kwenye uchumi wa 75b lakini real growth ika grow from 75bn to even 90bn.Hatuwezi kufikia Kwa growth rate ya 5.2% tuliyonago Kwa Sasa,tukijitanidi by July Next year wakitia tutakuwa kwenye dollar bil.80 na sio zaidi ya hapo..
Ile $85B walitabiri IMF sio hawa WBHatuwezi kufikia Kwa growth rate ya 5.2% tuliyonago Kwa Sasa,tukijitanidi by July Next year wakitia tutakuwa kwenye dollar bil.80 na sio zaidi ya hapo..
Miradi ndio tunaexport?Ile $85B walitabiri IMF sio hawa WB
Lakini tofauti zao hua sio kubwa...kama mwaka 2022 imf walitabiri Tz itakua na $77B kwahyo inamake sense...
Alafu uchumi wa Tz unategemea sana Government spending...haya mamiradi ndio yanachochea zaidi uchumi...ukiangalia per capita inasoma $1192... hii bado ni ndogo sana
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kivipi ? KakaMiradi ndio tunaexport?
Amesema uchumi wa Tanzania unaendeshwa kwa miradi, nijuavyo uchumi wa nchi yoyote ni mauzo ya nje na ndani ambayo ndio yanatengeneza GDPKivipi ? Kaka