Hali ya uchumi Kama hii, bado unalipa madiwani mishahara ya Tshs 2M kwa mwezi, Kweli?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Inaezekana ikawa hvo kaka ngoja niifatilie piaKijana leo umetoa habari nzuri sana
Hii sindio inakuja na flyover pale mwenge na kule kinondoni sijajua ile sehemu inaitwaje
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Yaanii hii slum ya Kenya imepangwa kuliko dar😂 na Kuna lami pia
Unajifariji kiuongo uongo?🤣Yaanii hii slum ya Kenya imepangwa kuliko dar😂 na Kuna lami pia
Nini hii boss?
Yeye mwenyewe hajui kaokota hajui ni kweli au uongo 😅😅😅Nini hii boss?
Haki za binaadamu ziko wapi au ni za africa tu
Kumbe, basi ndo maana BRT phase 3 hadi wana mobile toilet site!! Kumbe ma consultant ni watu serious!!I bet BRT Phase 3 itasmama sana kwa kuzingatia tu key players wake kwny mradi husika;
Mhandisi Mshauri wa kwanza kwenye Road Works (Lot 1 ) ni SMEC asili ni Australia na ndiye alikuwa Mhandisi Mshauri kwenye awamu ya kwanza ya BRT, Kimara-Kivukoni na matawi yake mkandarasi akiwa ni Strabag
Mhandisi Mshauri mwingine kwenye Road Works ni Habconsult Ltd, huyu ni noma project zake zote zimesimama to name few PSSPF Tower (Blue Tower-Mawasiliano),Mlongazila Hospital, Golden Jubilee Tower etc na kuna future project ya ocean view mall wapi sijui tusubiriyuko nayo pitieni humu;
Habconsult Ltd watatu upande huo ni Mhandisi Consultancy Ltd
Kwenye upande wa Buildings (Lot 2) UNITEC ndo mhandisi mshauri ambaye kazi inayomuuza ya hivi karibuni ni SGR kipande cha kwanza na cha pili Dar-Moro-Moro-Makutupora (Kuanzia Tanzanite to Dodoma Terminus mwamba ni yeye) you can tell;
kwa baadhi yetu tuliopita krb na mradi unaona kabisa jamaa wako serious na kazi kuanzia equipments wanazotumia mpaka ubora wa kazi yenyewe swafi kbs tunachoomba kwenye vituo vyetu awamu ya tatu msitunyime gladding ya vioo kama walivyofanya kwenye awamu ya pili please! vituo vile vimepunguza thamani ya kazi kubwa mlioifanya.Projects :: Unitec
www.unitec.co.tz
![]()
Wanafikiri wasudani walibahatisha kuja TanzaniaTanzania iko nyuma ya kenya miaka 50 walisikika mashakahola fulani
University ranking Africa
![]()
Makerere bounces back to top five in Africa in new rankings
The rankings also placed Uganda’s Metropolitan International University in 34th position, followed by ISBAT University and Cavendish in 51 and 61 respectivelywww.monitor.co.ug



Sio brt tuu bali na modern light commuter rail piaKwa hiyo dar yote inapigwa BRT leo wanasaini mikataba including daraja la jangwani
Dar baada ya miaka minne miundombinu itakua hatari sana