Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

joto la jiwe haki za binaadamu ziko wapi kaka juzi kapigwa risasi kijana kutoka asia hapo france na dunia imekaa kimya na hakuna media za wazungu zikionesha ila moto umewaka vibaya sana lakini hutaskia mahakama ya ya uhalifu wala haki za binaadamu wa haki za nyoko

Ingekua ni africa au adui wao ungeskia dunia nzima imesmama

JOTO LA JIWE ...unaitwa huku....
atakwambia hayo ni mambo yao ya ndani tusiwaingilie...
Screenshot_20230630-201247.jpg
View attachment 2674549
 
Kutoka pale maktaba hadi mwenge, alafu mwenge hadi ubungo pale wanapiga mkeka pedestrian walkways,mitaro ya kufunikwa full taa...
Alafu kutoka pale mwenge hadi tegeta dose iyo iyo

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app

Nasisitiza pale maktaba ndio phase 3 Na Four zinakutana, Kwa kifupi Anaanzia Phase 3 ilipochepukia along Bibi Titi kuelekea Nkrumah na Nyerere road.
 

JOTO LA JIWE ...unaitwa huku....
atakwambia hayo ni mambo yao ya ndani tusiwaingilie...
View attachment 2674550View attachment 2674549
Mm hua nasema bro haki za binaadamu na ICC ipo kwa ajili ya africa tu , wanazitumia kama njia yakuficha maovu yao na kudanganya watu wa africa huku na hayo machafuko ndio yangekua africa dunia nzima ingeskika na wangekaa vikao kila aina vya kinafki 😅😅😅😅😅
 
joto la jiwe haki za binaadamu ziko wapi kaka juzi kapigwa risasi kijana kutoka asia hapo france na dunia imekaa kimya na hakuna media za wazungu zikionesha ila moto umewaka vibaya sana lakini hutaskia mahakama ya ya uhalifu wala haki za binaadamu wa haki za nyoko 😅😅

Ingekua ni africa au adui wao ungeskia dunia nzima imesmama 👇👇👇👇👇

Waaache wale dawa yao
 
Me simuelewi kabisa Matindi, air Tanzania watu wanajiamulia tu mambo na yeye yupo, delays nyingi zinasababishwa na uzembe, eti leo apewe tunzo kwa utumishi upi?
Hiyo award itakuwa kanunua tu! Sioni kwa nini hajapata CEO wa air Malawi kwa mfano, ana ndege tatu na amekuwa profitable miaka miwili sasa!!

By the way, wataalamu wa aviation wa hapa hapa Tanzania wanajua kama matindi sio mtu sahihi kwenye ile sehemu. Kuna watu wengi tu wenye uwezo mkubwa na uzalendo zaidi na wangefanya kazi Bora zaidi yake. Sema ndo hivyo tu nchi yetu!!
 
Back
Top Bottom