Kuweka vikwazo sio demokrasia, ila kuminya uhuru wa raia wako kutokana na mtazamo wa kiimani na kimtazamo ndio demokrasia sio?.
Hakuna kurudi nyuma, nchi yoyote itakayoendekeza sheria kandamizi lazima ikutane na vikwazo, lazima watalegea.
Uganda inashindwa kushughulika na Rushwa, wizi na uzembe katika serikali ambavyo vinasababisha vifo na umasikini kwa waganda, badala yake inashughulika na watu ambao hawana athari yoyote kwa maisha ya watu na uchumi wa nchi
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app