Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha Kulalamika sana, hivi vinchi vyetu vya Afrika bado Sana vinahitaji kusaidiwa na kusimamiwa kuanzia kwenye uchumi hadi katika kujiendesha, bado vichwa vingi vya waafrika vimejaa ujinga na vinaendeshwa na Imani zaidi kuliko facts. Kama nchi inategemea misaada Kila mwaka vipi unahisi vinaweza kufikia maamuzi sahihi?, havina uwezo hata kujilisha lakini bado unahisi vipo sahihi katika kukandamiza haki za raia wake.

Hadi hapo waafrika tutakapopevuka na kuweza kujisimamia kiuchumi, kisiasa na kijamii ndio siku tutaachwa kujiendesha wenyewe. Bara ambalo hadi Leo watu wake wanadanganya na viongozi wa dini na kufunga hadi kufa, watu ambao hadi Leo wanaishi kwa kutegemea na kutajataja Mungu, lazima tusimamiwe.

Mkuu, ninakuhakikishia ushoga unakuja Afrika bila wasiwasi, South Afrika imeshapitisha katika katiba Yao, hakuna nchi yoyote itakayoweza kuzuia ushoga, Uganda ndio mfano mzuri, ikifika December 2023, nchi zote za Afrika zitaikimbia Uganda, Uganda itabaki "Isolated" na ndani kutakua na "civil unrest".

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Unajiaibisha sana kaka, watu wanakutegemea sana even me, hizi comment zako sizani kama unafikiria na followers wako, achana na hii mada tafadhali japo najua utanipinga ila nakuomba achana nayo, huwa najisikia vibaya mtu nnayemkubali akiongea hivi.
 
Wacha Kulalamika sana, hivi vinchi vyetu vya Afrika bado Sana vinahitaji kusaidiwa na kusimamiwa kuanzia kwenye uchumi hadi katika kujiendesha, bado vichwa vingi vya waafrika vimejaa ujinga na vinaendeshwa na Imani zaidi kuliko facts. Kama nchi inategemea misaada Kila mwaka vipi unahisi vinaweza kufikia maamuzi sahihi?, havina uwezo hata kujilisha lakini bado unahisi vipo sahihi katika kukandamiza haki za raia wake.

Hadi hapo waafrika tutakapopevuka na kuweza kujisimamia kiuchumi, kisiasa na kijamii ndio siku tutaachwa kujiendesha wenyewe. Bara ambalo hadi Leo watu wake wanadanganya na viongozi wa dini na kufunga hadi kufa, watu ambao hadi Leo wanaishi kwa kutegemea na kutajataja Mungu, lazima tusimamiwe.

Mkuu, ninakuhakikishia ushoga unakuja Afrika bila wasiwasi, South Afrika imeshapitisha katika katiba Yao, hakuna nchi yoyote itakayoweza kuzuia ushoga, Uganda ndio mfano mzuri, ikifika December 2023, nchi zote za Afrika zitaikimbia Uganda, Uganda itabaki "Isolated" na ndani kutakua na "civil unrest".

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Imepiga kwenye mshono kama Usm Algers watakavyofanya kesho 😁😁😁😁
 
Office of the president Nairobi
20230530_081141.jpg

Office of the Deputy President Nairobi
20230530_081147.jpg
 
Kweli kabisa,walilipinga sana Hilo bwawa la nyerere ili lisijengwe kwa kisingizio cha ukame. Cha ajabu limejaa baada ya miezi tu kinyume hata na Makamba alivosema eti misimu 2 ya mvua.
Hapa inatufunza jambo, sio watanzania wote wanapenda Nchi hii
Isonge mbele.Kuna watu wako radhi kuua uchumi wa nchi kisa tu kuna visenti vichache wanapata kama rushwa

Bado tuna mito mingi Ambayo haijatumika kuvuna umeme. Mot kama Ruvuma,pale tungeweza pata zaidi hata ya 1,000MW lakini ndio hivo tena uongozi unatuangusha.Kuna wakati mpaka naona bora kuwe na utawala wa majimbo. Mfano jimbo fulani inaweza amua watege umeme wa maji,washushe bei ya umeme jimboni mwao na viwanda vishamiri. Na jimbo Jingine l linaweza amua kufunga umeme wa jua au upepo,alafu watajisifu wana umeme wa uhakika,bei ya umeme itakuwa juu,hakuna viwanda vitaweza kumudu bei,uwekezaji wa viwanda utashuka, mwisho wabaki kulia na kulikimbia jimbo Lao maskini

Kama tungeweza angalau kuwa na umeme wa maji wa angalau 10,000MW, tungeongoza afrika kiviwanda na hata uchumi kwani tungeweza shusha sana gharama ya umeme. Ujue,shetani mkubwa wa nchi hii ni tanesco na wizara yake. Kama tungeweza kumshinda huyo shetani,hii thread ya kenya vs TZ ingefungwa zamani sana.Ni aibu kwa nchi kama TZ kuzubaa na mpaka kufikia level ya kufanana na kenya.
Tumejichelewesha sana..inauma sana
MAMBO YENYEWE NDO KAMA HAYA USEMAYO

SISI SOTE NI WATU TUSIO TIMIZA HAKI IPASAVYO ILA KWA WANASIASA

NI BORA TENA NI KHERI NA NI VYEMA SANA MUNGU MUUMBAJI HASIWEPO Ili pasiwe na karma

IF YOU FOLLOW POLITICIANS 'LL NEVER "COME FAR
JAH RASTAFARI HE'S THE SAVIOR"
Screenshot_20230602-204008.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20230602-204008.jpg
    Screenshot_20230602-204008.jpg
    30.5 KB · Views: 5
Back
Top Bottom