Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Enhh nimekua napenda anal sex tena ??😅😅
Vp kwani ulishawah kunionjesha au?? Kama ushawah kua mmoja wao sema tu usiogope manake huogopi kutetea ushoga kama ushawah nipa kipumulio ongea tu 🙌🙌😅
Again, Anal sex inafanywa na straight couples pia! Sio kitu cha ajabu. I’m calling out your HYPOCRISY!
 
Ushoga haulazimishwi Afrika. Kuna nchi progressive kwenye bara la Afrika ambazo zinalinda haki za mashoga kwasababu ni maslahi ya wananchi wao, si kwa kusikiliza sauti za nje!
Hahaha ushoga haulzmishwi africa ila unafanywa nn kama nchi imeweka kifo kwa shoga huyo raia ana haja gani kuja kwenye nchi yenye sheri hio ?? Kuwekea vikwazo kisa wameweka sheria kali maana yake ni kulazmisha wafate unavotaka ww
 
Again, Anal sex inafanywa na straight couples pia! Sio kitu cha ajabu. I’m calling out your HYPOCRISY!
Ndio maana nimekuuliza ushawah nipa hicho kipumulio ili ujue mm napenda anal au?? 😅😅😅
 
Hahaha ushoga haulzmishwi africa ila unafanywa nn kama nchi imeweka kifo kwa shoga huyo raia ana haja gani kuja kwenye nchi yenye sheri hio ?? Kuwekea vikwazo kisa wameweka sheria kali maana yake ni kulazmisha wafate unavotaka ww
Na kwanini shoga apate adhabu ya kifo? Dini zenu hazisisitizi upendo Kwa watu wote? You are not proving any moral authority by punishing and executing people who have not harmed others. Sababu ya nchi zilizoendelea kuweka sanctions ni kulinda haki za watu wasio na utetezi. Wewe unasema mashoga wanastahili kufa lakini ni aina hii hii ya chuki ina-propegate ukabila na udini kwenye nchi zetu.
 
Ndio maana nimekuuliza ushawah nipa hicho kipumulio ili ujue mm napenda anal au?? 😅😅😅
Because both men and women have an anus, sio lazima Wewe Ndio uwe penetrated. Wewe Ndio unafanya penetration in this case kwasababu comment yako ili-indicate hivyo.
 
Ushoga upo miaka mingi sana lakin kuufanya kuwa normal kias chakuwapa haki zao. Bora uniite idiot, siwez kukubaliana nawew
Labda nikuulize swali. Haki ya mtu mwingine inaleta ubaya gani kwako?
 
Na kwanini shoga apate adhabu ya kifo? Dini zenu hazisisitizi upendo Kwa watu wote? You are not proving any moral authority by punishing and executing people who have not harmed others. Sababu ya nchi zilizoendelea kuweka sanctions ni kulinda haki za watu wasio na utetezi. Wewe unasema mashoga wanastahili kufa lakini ni aina hii hii ya chuki ina-propegate ukabila na udini kwenye nchi zetu.
Kwasababu ni kwenda kinyume na maumbile yani Mungu aumbe mwanaume na mwanamke alaf tubadili lengo kua mwanaume ageukie wanaume wenzake na wanawake ageukie wanawake wenzio yani binaadamu anamfundisha MUNGU nini cha kufanya kama kuna watu wanafungwa maisha basi na wao ni wajibu wao hvo hvo na mm nampibgeza sana museven kwa kuwaamsha waafrica wengine waunge mkono kwa nguvu sana hili jambo
 
Because both men and women have an anus, sio lazima Wewe Ndio uwe penetrated. Wewe Ndio unafanya penetration in this case kwasababu comment yako ili-indicate hivyo.
Anus kazi yake ni nn?? Au ina matumizi zaidi ya ile MUNGU alivokuumba nayo??😅😅

Unafkiri sukari inaeza geuka kua chumvi??

Suali ni ushawah nipa kipumulio chako ili ukajua mm napenda anus ?? Simple😅😅
 
Kwasababu ni kwenda kinyume na maumbile yani Mungu aumbe mwanaume na mwanamke alaf tubadili lengo kua mwanaume ageukie wanaume wenzake na wanawake ageukie wanawake wenzio yani binaadamu anamfundisha MUNGU nini cha kufanya kama kuna watu wanafungwa maisha basi na wao ni wajibu wao hvo hvo na mm nampibgeza sana museven kwa kuwaamsha waafrica wengine waunge mkono kwa nguvu sana hili jambo
Dini yako na Imani yako haipaswi kukandamiza haki za mtu mwingine. Na pia Mungu Huyo Huyo ndiye anayeumba mashoga na ni Mungu huyo huyo ndiye anayeumba wanawake wenye testicles and wanaume wenye ovaries. Kwa hiyo labda unahitaji kumuuliza kwanini anafanya hivyo kabla ya ku-condemn watu wengine. And for obvious reasons, si kila mtu anaamini uwepo wa Mungu na si kila mtu anaabudu Mungu unayemuamini Wewe. Kwa hiyo Imani yako isiwe chanzo cha kuharibu maisha ya watu amabao hawajihusishi kabisa na Imani yako.
 
Anus kazi yake ni nn?? Au ina matumizi zaidi ya ile MUNGU alivokuumba nayo??😅😅

Unafkiri sukari inaeza geuka kua chumvi??

Suali ni ushawah nipa kipumulio chako ili ukajua mm napenda anus ?? Simple😅😅
Do you kiss? Because I can tell you that the mouth has very specific uses for bodily functions different from arousing pleasure.
 
Labda nikuulize swali. Haki ya mtu mwingine inaleta ubaya gani kwako?
Kama uwepo wake unaathiri jamii basi kuna ubaya na sio kwangu tu. Kuna wakati majizi yaliyoshindikana hku mtaani polisi wanawapoteza tu au waanachia wananchi wenye hasira kali wafanye kazi yao. Nani anajali haki yao ya kuishi?

Kuna wakati ukishakua tatizo kwenye ustawi wa jamii nobody care, hata Mungu mwenyew anabariki.

Sijasema mashoga wanatakiwa kuuwawa but we must criticize
 
Dini yako na Imani yako haipaswi kukandamiza haki za mtu mwingine. Na pia Mungu Huyo Huyo ndiye anayeumba mashoga na ni Mungu huyo huyo ndiye anayeumba wanawake wenye testicles and wanaume wenye ovaries. Kwa hiyo labda unahitaji kumuuliza kwanini anafanya hivyo kabla ya ku-condemn watu wengine. And for obvious reasons, si kila mtu anaamini uwepo wa Mungu na si kila mtu anaabudu Mungu unayemuamini Wewe. Kwa hiyo Imani yako isiwe chanzo cha kuharibu maisha ya watu amabao hawajihusishi kabisa na Imani yako.
Haki ni kubadilisha maumbile hvi ww unafkiri wazazi wako wangekua mashoga ww ungekua wapi?? Kwann hifkirii na watoto wengine au kizazi kingine?? Haki ziko africa tu juzi france wamewapiga waandamanaji kama kama wanyama lakini sijaski chombo chochote chao kikionesha haki za binaadamu kama wewe unamatapishi kichwani usilazmishe kila mtu awe nayo

Lazima africa irudi kwenye mila na tamaduni zao haiwezekani nchi moja iweke sheria kwa nchi zingine kama ni hvo nn maana ya democracy?? Au ndio ile tunasema wanaficha laana zao kwenye kivuli cha democracy ??

MUNGU haumbi mashoga shoga ni laana yako mwenyewe ukianza kuchokonolewa maana yake ndio utakua wa kuchokonolewa maisha juzi nimeona video watoto wadogo wanafundishwa mapenzi ya jinsia moja alaf utasema MUNGU kaumba mashoga
 
Back
Top Bottom