Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nani aliyemuumba Mungu?, Jibu kwanza hili swali. Ninajua huna jibu utabaki kutumia vitabu vya dini ambavyo hata walioviandika hawajulikani

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mungu ndio mmiliki wa kila kitu kwenye dunia na nje ya dunia hilo swali lako halina mantiki kabisa kama science haijui kuhusu roho na ndio munajifanya muna kila kitu munakijua vikiwashinda munarudi kwenye vitabu vya dini niliwah kukuliza unajua kwann israel inapigana sana kupata msikiti unaitwa baytul maqdis ambao uko palestine unajua sababu kubwa ni nn?? 😅😅😅😅😅
 
Mm huwa nachanganya sana hili daraja, kwani hili sio lile la wami?
Lile la wami liko mbele ya Msata...iyo pangani ni eneo tofauti kabisa...
Nachokiona ni itatusaidia sana watu wa kaskazini kufupisha safari ukitokea Dar unapita Saadani hakutakua na haja tena ya kwenda hadi Msata-Segera-Korogwe ndio utembee hadi Moshi Arusha Instead unapita Saadani alafu unaenda kuchepukia njia ya Tanga-Segera alafu unaendelea

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, Uganda haijaingiliwa na mtu, sheria za Uganda zinasema ushoga hapana, na Sheria za Marekani zinasema sheria kandamizi hapana.

Kila nchi Iko na sheria yake, Sasa Kama utekelezaji wa katiba ya Marekani unaleta athari kwa nchi nyingine nje ya Marekani, hilo sio lengo la Marekani, hiyo ni shida ya hiyo nchi kuwa tegemezi, mbona North Korea, Iran, Russia zimewekewa vikwazo lakini hawalalamiki?

Mkuu, nchi yoyote Iko na uhuru na maamuzi yake, wachague kati ya vikwazo au kuachana na hiyo sheria, uamuzi ni wenu, lakini hakuna nchi itakayoachwa bila kupata vikwazo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kama haingiliwi na mtu kwann marekani haiheshimu kama nchi huru kwann saud arabia na qatar wanaheshimu kwann sio africa ??? Hio ndio democracy au hio ndio haki za binaadamu au haki za binaadamu ziko africa sio nje ya africa 😅😅😅😅

Wao wanajua kua russia hata ukimuekea vikwazo haviwez fanya kazi kwasaabu ni mkubwa mwenzie kwann waonee nchi za africa hilo ndio swali langu na je kwann hawaheshimu sheria za nchi hizi?? Kwann kila jambo linapofanyika africa ndio linakuja swala la haki za binaadamu kwann haki za binaadamu haziko kwao ??
 
Kama haingiliwi na mtu kwann marekani haiheshimu kama nchi huru kwann saud arabia na qatar wanaheshimu kwann sio africa ??? Hio ndio democracy au hio ndio haki za binaadamu au haki za binaadamu ziko africa sio nje ya africa

Wao wanajua kua russia hata ukimuekea vikwazo haviwez fanya kazi kwasaabu ni mkubwa mwenzie kwann waonee nchi za africa hilo ndio swali langu na je kwann hawaheshimu sheria za nchi hizi?? Kwann kila jambo linapofanyika africa ndio linakuja swala la haki za binaadamu kwann haki za binaadamu haziko kwao ??
Wacha Kulalamika sana, hivi vinchi vyetu vya Afrika bado Sana vinahitaji kusaidiwa na kusimamiwa kuanzia kwenye uchumi hadi katika kujiendesha, bado vichwa vingi vya waafrika vimejaa ujinga na vinaendeshwa na Imani zaidi kuliko facts. Kama nchi inategemea misaada Kila mwaka vipi unahisi vinaweza kufikia maamuzi sahihi?, havina uwezo hata kujilisha lakini bado unahisi vipo sahihi katika kukandamiza haki za raia wake.

Hadi hapo waafrika tutakapopevuka na kuweza kujisimamia kiuchumi, kisiasa na kijamii ndio siku tutaachwa kujiendesha wenyewe. Bara ambalo hadi Leo watu wake wanadanganywa na viongozi wa dini na kufunga hadi kufa, watu ambao hadi Leo wanaishi kwa kutegemea na kutajataja Mungu, lazima tusimamiwe.

Mkuu, ninakuhakikishia ushoga unakuja Afrika bila wasiwasi, South Afrika imeshapitisha katika katiba Yao, hakuna nchi yoyote itakayoweza kuzuia ushoga, Uganda ndio mfano mzuri, ikifika December 2023, nchi zote za Afrika zitaikimbia Uganda, Uganda itabaki "Isolated" na ndani kutakua na "civil unrest".

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wacha Kulalamika sana, hivi vinchi vyetu vya Afrika bado Sana vinahitaji kusaidiwa na kusimamia kuanzia kwenye uchumi hadi katika kujiendesha, bado vichwa vingi vya waafrika vimejaa ujinga na vinaendeshwa na Imani zaidi kuliko facts.

Hadi hapo waafrika tutakapopevuka na kuweza kujisimamia kiuchumi, kisiasa na kijamii ndio siku tutaachwa kujiendesha wenyewe. Bara ambalo hadi Leo watu wake wanadanganya na viongozi wa dini na kufunga hadi kufa, watu ambao hadi Leo wanaishi kwa kutegemea na kutajataja Mungu, lazima tusimamiwe.

Mkuu, ninakuhakikishia ushoga unakuja Afrika bila wasiwasi, South Afrika imeshapitisha katika katiba Yao, hakuna nchi yoyote itakayoweza kuzuia ushoga, Uganda ndio mfano mzuri, ikifika December 2023, nchi zote za Afrika zitaikimbia Uganda, Uganda itabaki "Isolated" na ndani kutakua na "civil unrest".

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kama vinahitaji kusaidiwa basi visaidie sio kupanga watu wageuzane kua wanawake hapana hio sio democracy

Ushoga africa bado sana na unaeza usifue dafu kwasababu one world order imegonga mwamba mzee 😅😅😅😅

Na sio uganda tu nchi zote za africa zimepinga hio laana mtu kaumbwa mwanaume timamu mwanamke timamu munaacha malengo munaanza kupakuana tena hii itakua nchi ya aina gani?? Au unafikiri tsunami zinakuja zenyewe tu kwa uchafu ule waliokua wanaufanya 😅😅😅

Hakuna ushoga africa na haiwezekani bado watu hawana mentality hio ni ww na wenzako munaojifanya wana sayansi wakat hujui kwann binaadamu anakufa na kwann anazikwa ardhini

Uganda ni mwanzo bado kuna nchi zinakuja kwa speed hio hio just wait and see weka mbali nchi za kiarabu kaskazini huko ndio kabisa 😅😅
 
Back
Top Bottom