Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuko pamoja na ww museven na niwajibu wa nchi zote za africa kufanya haya hatuwez kua na taifa la watu wa ovyo kupitiliza

Is Museveni a qualified psychologist to call homosexuality a “psychological disorientation?”
IMG_4916.jpeg
 
Do you kiss? Because I can tell you that the mouth has very specific uses for bodily functions different from arousing pleasure.
Nimekuuliza nn kazi ya uume? Nn kazi ya kipumulio? Nn kazi ya uuke mpaka sasa hujanijibu 😅😅😅
 
Is Museveni a qualified psychologist to call homosexuality a “psychological disorientation?”
View attachment 2643482
Ndio hao hao wanaotangaza ushoga unategemea watakwambia ukweli kwan hujawah kuona mmiliki wa gari anajua gari lake lina matatizo ila akiwa analiuza anasema gari halina shida ni kwasababu anataka lake limuendee hata hao wanaotetea hzo haki hawawez kukwambia athari zake wataficha maovu yao kwenye kivuli cha haki za binaadamu na democracy ndio laana zao zilipojificha
 
Ndomana nikamuulza kaka mkubwa hapo kama ni hvyo basi sawa hata watoto wetu wakihitaji haki zao kuwa mashoga tuwapongeze.. tusidhani jambo hili litaishia kwa hao wengine tu.
Ni hiari na chaguo la mtu binafsi, ukimkataza ni sawa, ukimruhusu ni sawa, Fanya vile nafsi yako inavyopenda, asitokee mtu kukufundisha jinsi ya kuishi zaidi ya mzazi wako ulipokua chini ya umri wa kujiamulia mambo yako.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kama uwepo wake unaathiri jamii basi kuna ubaya na sio kwangu tu. Kuna wakati majizi yaliyoshindikana hku mtaani polisi wanawapoteza tu au waanachia wananchi wenye hasira kali wafanye kazi yao. Nani anajali haki yao ya kuishi?

Kuna wakati ukishakua tatizo kwenye ustawi wa jamii nobody care, hata Mungu mwenyew anabariki.

Sijasema mashoga wanatakiwa kuuwawa but we must criticize
Unatafakari mawazo yako vizuri kabla ya kuandika? Unaona ni vyema Kwa polisi “kuwapoteza” watu Au wananchi kuua mtu?

Hebu niambie athari za jamii unazozisema ni zipo?
 
Ndio hao hao wanaotangaza ushoga unategemea watakwambia ukweli kwan hujawah kuona mmiliki wa gari anajua gari lake lina matatizo ila akiwa analiuza anasema gari halina shida ni kwasababu anataka lake limuendee hata hao wanaotetea hzo haki hawawez kukwambia athari zake wataficha maovu yao kwenye kivuli cha haki za binaadamu na democracy ndio laana zao zilipojificha
No, kama yeye Museveni anasema kuwa homosexuality is mental disorientation inamaanisha kuwa anatumia SCIENTIFIC MEANS kutetea hoja yake. Atoe scientific findings alizozifanya na research yake. Kwasababu sayansi si hisia Za mtu. Ni FACTS.
 
No, kama yeye Museveni anasema kuwa homosexuality is a mental disorientation i namaanisha kuwa anatumia SCIENTIFIC MEANS kutetea hoja yake. Atoe scientific findings alizozifanya na research yake. Kwasababu sayansi si hisia Za mtu. Ni FACTS.
Kwan science husema kweli kila jambo??
Hebu wewe nijibu ni kweli science iko perfect kwenye kila jambo ??😅😅😅

Ikiwa science yenyewe hua ina refer kwenye vitabu vya dini inaposhindwa jambo au mpaka hilo wakwambie pia
 
Hahaha ushoga haulzmishwi africa ila unafanywa nn kama nchi imeweka kifo kwa shoga huyo raia ana haja gani kuja kwenye nchi yenye sheri hio ?? Kuwekea vikwazo kisa wameweka sheria kali maana yake ni kulazmisha wafate unavotaka ww
Uganda imetumia katiba yake kuwafunga na kuwanyonga watu wenye kujihusisha na ushoga, hiyo ni haki ya serikali ya Uganda kikatiba.

Marekani imetumia katiba yake kuziwekea vikwazo nchi zote zenye sheria kandamizi kwa ushoga, hiyo ni haki ya serikali ya Marekani kikatiba. Punguza lawama na kulialia. Kila mtu afanye vile awezavyo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ushoga upo miaka mingi sana lakin kuufanya kuwa normal kias chakuwapa haki zao. Bora uniite idiot, siwez kukubaliana nawew
Hakuna mtu anayelazimishwa kukubali ushoga, na haitakiwi pia awepo mtu anayelazimisha watu wengine wasifanye ushoga kwa wenye kupenda kufanya.

Mkuu, uhuru wako unaishia pale ambapo uhuru wa mwenzako unapoanzia. Kama ambavyo wewe hukubaliani na ushoga, wapo watu ambao hawakubaliani na kitendo Cha kukataza ushoga, Kila mtu awe huru tusilazimishane Imani.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Haki ni kubadilisha maumbile hvi ww unafkiri wazazi wako wangekua mashoga ww ungekua wapi?? Kwann hifkirii na watoto wengine au kizazi kingine?? Haki ziko africa tu juzi france wamewapiga waandamanaji kama kama wanyama lakini sijaski chombo chochote chao kikionesha haki za binaadamu kama wewe unamatapishi kichwani usilazmishe kila mtu awe nayo

Lazima africa irudi kwenye mila na tamaduni zao haiwezekani nchi moja iweke sheria kwa nchi zingine kama ni hvo nn maana ya democracy?? Au ndio ile tunasema wanaficha laana zao kwenye kivuli cha democracy ??

MUNGU haumbi mashoga shoga ni laana yako mwenyewe ukianza kuchokonolewa maana yake ndio utakua wa kuchokonolewa maisha juzi nimeona video watoto wadogo wanafundishwa mapenzi ya jinsia moja alaf utasema MUNGU kaumba mashoga
Wewe unafikiri kuwa kuwepo duniani ni haki yako. As if uliahidiwa kuwepo kwenye hii dunia. Kumbuka kuwa kwenye kila mL ya semen kuna sperm zaidi ya milioni Mia moja. Lakini ni sperm moja pekee inaenda ku-fertilize eggs. Uwepo wako ni by CHANCE! Physical characteristics ulizonazo pia ni kutokana na RANDOM ASSORTMENT ya chromosomes. Kwa hiyo usiniambie kuwa “nigekuwa wapi” ni swali la kijinga.

Pili, Wewe huwezi kuzungumza kuhusu maswala ya nchi yako bila kuleta anti-western agendas kwasababu unakosa sababu za msingi.

Tatu, Hakuna “tamaduni” za kiafrika. Hata dini zenu si ASILI ya kiafrika. Zililetwa na wazungu na waarabu! Kama tukirudi nyuma zaidi kwenye REAL traditions za civilizations za kiafrika, nina uhakika utakuta kuna jamii ambazo ushoga ulikuwa ni jambo la kawaida. Hata Uganda (Buganda) ilikuwa na mfalme homosexual!

Nne, naamini kuwa kama Mungu ameumba kila kitu kwenye hii dunia basi hajafanya makosa. Mungu ameumba wanyama mashoga pia Kwa hiyo sasa sijui walilaaniwa na nani? Wewe huna lolote la kusimamia bila kuwa na ASSUMPTIONS. Arguments zangu zote ni Facts Kwa hiyo hatulingani.
 
Kwan science husema kweli kila jambo??
Hebu wewe nijibu ni kweli science iko perfect kwenye kila jambo ??😅😅😅

Ikiwa science yenyewe hua ina refer kwenye vitabu vya dini inaposhindwa jambo au mpaka hilo wakwambie pia
You are officially due for an appointment at a mental hospital. Niambie ni wapi Science ime-refer kwenye vitabu vya dini. Dini inaamini creation, sayansi inasimama na evolution . Sasa sijui ni upuuzi gani unazungumza.
 
Kwasababu ni kwenda kinyume na maumbile yani Mungu aumbe mwanaume na mwanamke alaf tubadili lengo kua mwanaume ageukie wanaume wenzake na wanawake ageukie wanawake wenzio yani binaadamu anamfundisha MUNGU nini cha kufanya kama kuna watu wanafungwa maisha basi na wao ni wajibu wao hvo hvo na mm nampibgeza sana museven kwa kuwaamsha waafrica wengine waunge mkono kwa nguvu sana hili jambo
Mkuu, ni haki kwa Uganda kuwahukumu na kuwaua mashoga, na ni haki kwa Marekani kuweka vikwazo, tuone nani atashindwa?,. hapo ndio tutajua Kama Kuna Mungu nyuma ya sheria za Uganda au yupo pamoja na USA

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kama uwepo wake unaathiri jamii basi kuna ubaya na sio kwangu tu. Kuna wakati majizi yaliyoshindikana hku mtaani polisi wanawapoteza tu au waanachia wananchi wenye hasira kali wafanye kazi yao. Nani anajali haki yao ya kuishi?

Kuna wakati ukishakua tatizo kwenye ustawi wa jamii nobody care, hata Mungu mwenyew anabariki.

Sijasema mashoga wanatakiwa kuuwawa but we must criticize
Unaweza kuzitaja athari za ushoga katika jamii ni zipi?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom