Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtoto wa kiume unaejua wajibu wakuumbwa huwez kushadadia ushogo tusiharibu vijana kwa maslahi ya watu wachache ushoga sio mila ya africa na ukweli ndio huo hautabadilika

Haki sawa iko kwenye kubadilisha maumbile sio
Ila uzinzi wa wake za watu ndio maadili ya waafrika, sivyo?. Mkuu, ulichokizoea kwa miaka mingi na kuwa ni sehemu ya maisha yako, usitake kulazimisha kwa wengine iwe ndio hivyo.

Waafrika tumezoea uzinzi na umalaya wa kupitiliza kiasi kwamba tunaona ni jambo la kawaida na kulifanya ni sehemu ya Mila zetu, wakati kiukweli, uzinzi una athari kubwa katika jamii kuliko ushoga ambao hauna madhara yoyote kijamii.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Tunazungumzia ushoga sio uzinzi tunaongelea maumbile ya uume na ukike sio uzinzi mzee usichanganye mada 😅😅

Usitafute msaada wa uzinzi kisa kuficha maovu ya ushoga haiwezekani mzee ushoga utabaki kua ushoga na sio mila ya africa hakuna ukweli utabadikika

Leo unasema ushoga hauna madhara kijamii kweli??? 😅😅😅🙌🙌🙌 ebana hii mada achana nayo bro
 
Umeumbwa na uume ili iweje au umeumwbwa na ukike ili iweje nn kazi ya uume ni nn ?? Nn kazi ya tundu hilo la nyuma??? Acheni kujifanya wendawazimu
Okay. Ngoja nizungumze Kwa lugha ya uumbaji. Kuna watu wanaumbwa bila reproductive organs. Kuna watu wanaumbwa na mwili wa kiume lakini wana ovaries na pia kuna wanawake wameumbwa na testicles. Mimi sijui sababu yake ni nini lakini Wewe naona kuna “wajibu” wa kufanya mapenzi Kwa kutumia reproductive organs Za opposite sex. Lakini it’s more complicated than that. Si kila mtu amebeba secondary sexual characteristics kama zako na si kila mtu ana hisia ulizonazo. Usilazimishe matakwa yako Kwa watu wengine kwasababu binadamu hawafanani.
 
Nimekuuliza swali nijibu kwanza 👇👇👇👇
Umeumbwa na uume ili iweje au umeumwbwa na ukike ili iweje nn kazi ya uume ni nn ?? Nn kazi ya tundu hilo la nyuma??? Acheni kujifanya wendawazimu
 
Nimekuuliza swali nijibu kwanza 👇👇👇👇
Nimekujibu kuwa HAKUNA wajibu wa kufanya mapenzi Kwa binadamu yoyote. Hakuna EXPECTATIONS zozote. Unaweza kuwa na UUME Ila HAUSIMAMI sasa niambie utauingiza wapi! Sexuality is not as easy as everyone thinks. Uelewa wako wa human sexuality ni LIMITED.
 
Nimekujibu kuwa HAKUNA wajibu wa kufanya mapenzi Kwa binadamu yoyote. Hakuna EXPECTATIONS zozote. Unaweza kuwa na UUME Ila HAUSIMAMI sasa niambie utauingiza wapi! Sexuality is not as easy as everyone thinks.
Nimekuuliza tena naomba majibu usiniambie hakuna wajibu wakat ww umezaliwa baada ya mama yako na baba yako kukutana lasivo ww usingekuwepi hapa ukitoa mapovu ya laana 😅😅😅

Jibu swali nililokuuliza 👇👇👇👇
Umeumbwa na uume ili iweje au umeumwbwa na ukike ili iweje nn kazi ya uume ni nn ?? Nn kazi ya tundu hilo la nyuma??? Acheni kujifanya wendawazimu
 
Nimekuuliza tena naomba majibu usiniambie hakuna wajibu wakat ww umezaliwa baada ya mama yako na baba yako kukutana lasivo ww usingekuwepi hapa ukitoa mapovu ya laana 😅😅😅

Jibu swali nililokuuliza 👇👇👇👇
Kwa hiyo vipi kuhusu binadamu wasio na uwezo wa kuwa na watoto? Mungu alikosea kuwaumba? Argument yako ni kuwa binadamu WOTE wana wajibu wa kufanya mapenzi mwanamke na mwanaume kupata watoto. Are you out of your mind? Sex si lazima iwe na lengo la kutengeneza watoto. Sex si lazima ihusishe penetration. Na sex si lazima iwe Kati ya mwanaume na mwanamke. Kila binadamu ni tofauti. Kama Wewe unahisi ni wajibu wako kuleta watoto duniani then congratulations. Acha wengine waishi watakavyo.
 
Tunazungumzia ushoga sio uzinzi tunaongelea maumbile ya uume na ukike sio uzinzi mzee usichanganye mada

Usitafute msaada wa uzinzi kisa kuficha maovu ya ushoga haiwezekani mzee ushoga utabaki kua ushoga na sio mila ya africa hakuna ukweli utabadikika

Leo unasema ushoga hauna madhara kijamii kweli??? ebana hii mada achana nayo bro
Ushoga na uzinzi vyote ni "sexual", wewe umezoea uzinzi na wengine wamezoea ushoga, tatizo lipo wapi?. Wapi waafrika tulikubaliana kwamba ushoga sio Mila zetu lakini uzinzi ni Mila zetu?, wacheni kutuletea "primitivity" kwa vigezo vya Mila za kiafrika.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
How it started vs how its going. Hii dunia ni mduara🤣🤣🤣
IMG_20230602_124239.jpg
IMG_20230602_124144.jpg
 
Kwa hiyo vipi kuhusu binadamu wasio na uwezo wa kuwa na watoto? Mungu alikosea kuwaumba? Argument yako ni kuwa binadamu WOTE wana wajibu wa kufanya mapenzi mwanamke na mwanaume kupata watoto. Are you out of your mind? Sex si lazima iwe na lengo la kutengeneza watoto. Sex si lazima ihusishe penetration. Na sex si lazima iwe Kati ya mwanaume na mwanamke. Kila binadamu ni tofauti. Kama Wewe unahisi ni wajibu wako kuleta watoto duniani then congratulations. Acha wengine waishi watakavyo.
Swala la kutokua na watoto sio kigezo cha kwamba uwe shoga mzee muhimu anafanya tendo sahihi lakini kukosa mtoto ni issue nyingine na sio kigezo cha ushoga

Sasa kama sex sio lengo la kupata mtoto mm nimekuuliza simple questions mbona hujibu au huna hoja kwenye hilo 👇
Umeumbwa na uume ili iweje au umeumwbwa na ukike ili iweje nn kazi ya uume ni nn ?? Nn kazi ya tundu hilo la nyuma??? Acheni kujifanya wendawazimu
 
Ushoga na uzinzi vyote ni "sexual", wewe umezoea uzinzi na wengine wamezoea ushoga, tatizo lipo wapi?. Wapi waafrika tulikubaliana kwamba ushoga sio Mila zetu lakini uzinzi ni Mila zetu?, wacheni kutuletea "primitivity" kwa vigezo vya Mila za kiafrika.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ushoga ni kwenda kinyume na maumbile ni tofaut kubwa kati ya ushoga na uzinzi usilazmishe kitu mzee ni vitu viwil8 tofaut ushoga maana yake mtu anatumia kiungo cha kutolea haja kubwa kua ni sehemu ya kupumuliwa ambacho sio kazi yake hio yakimaumbile alaf ww ndio unaesema ushoga hauna athari kwenye jamii🙌🙌

Hii dunia kweli imeisha sasa
 
Kwa hiyo vipi kuhusu binadamu wasio na uwezo wa kuwa na watoto? Mungu alikosea kuwaumba? Argument yako ni kuwa binadamu WOTE wana wajibu wa kufanya mapenzi mwanamke na mwanaume kupata watoto. Are you out of your mind? Sex si lazima iwe na lengo la kutengeneza watoto. Sex si lazima ihusishe penetration. Na sex si lazima iwe Kati ya mwanaume na mwanamke. Kila binadamu ni tofauti. Kama Wewe unahisi ni wajibu wako kuleta watoto duniani then congratulations. Acha wengine waishi watakavyo.
Kama sio wajibu kuleta watoto kwann uliletwa wewe ?? 😅😅 kwann hufkirii wengine kua wanahaja ya kuletwa duniani

Ikiwa wewe umeletwa kwa njia hio unataka wengine waletwe kwa njia gani ya ushoga au kusagana??
 
Swala la kutokua na watoto sio kigezo cha kwamba uwe shoga mzee muhimu anafanya tendo sahihi lakini kukosa mtoto ni issue nyingine na sio kigezo cha ushoga

Sasa kama sex sio lengo la kupata mtoto mm nimekuuliza simple questions mbona
Wastan binadamu hufanya sex mara tatu kwa wiki, kwahiyo hizo mara tatu kwa wiki lengo ni watoto?, He wazee waliofikisha "Menopause" hawapaswi kufanya sex?.

98% ya sex duniani ni kwa ajili ya kupata "pleasure", sexual pleasure inaweza ikawa penetration au none penetration. Nani aliyesema lazima penetration iwe ni "viginal tu"?. Mkuu inaonekana bado upo nyuma Sana.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Summary ya Wizara ya Nishati Budget

Tanesco has 4.319million customers from 3.8million 12 percent growth

Power produced on grid plants 1872Mw kati ya hizo 1198Mw(64% is produced by Gas plants , Hydro 574Mw 30.6% , Disel 88mw , Biogas 10MW ....Total on Grid and Off 1911MW .. Peak Power consmuption (On Grid only 1431Mw on May 2023

Transmission lines 66kv and above total 6363km from 6111km , Below 33kv 168K Kilometes from 153k

Kinyerezi extension 1 185mw completed na sasa Kinyerezi 1 inazalisha 335MW total na Kinyerezi 2 240MW half of Total Gas plants in Tz ..sijaona plans za Kinyerezi 3 and 4 mostly ziko shelved

Rusumo falls 80Mw 99percent completed to add 26mW Tz cost 262Billion Tsh ..mostly i think ni Transmission lines ..

Kakono Project 87.8 MW to cost Tz 724Billion tsh price includes 38km Transmission line and upgarde of station from 132kv to 220kv ..Project to start March 2024 to end Feb 2029.... (Hydro is Fxxkn expensive )

Solar Project Kishapu 150MW .total cost 294billion tsh phase 1 50mw to start June 2023 to end Augsut 2024 ...

Hizo ndo project apart from JNHPP tutazoona zikifanyika in coming years.ambazo contracts tayari

Ambazo bado hi
1.. Mtwara Gas Plant 300Mw cost 1billion USD cost involves 268km 400KV transmission lines which are costful as F ..Project most likely kuanza ni Oct 2025 kuisha 2028 Sept

2. Rumakali 358mw , Ruhidiji 222mw , Kikonge 321 mw dont expect them soon ..most projects hapo ni loans , plus zote zinacost above 1 trillion Tsh ..na most zitaanza 2025 plus

Transmission projects
1.JNHPP To Chalinze 400kv 160km Cost 134billion Tsh

2.SGR lot 2 transmiison line Moro to Dom 220kv 414km cost 71.5million usd which is 166bilon tsh

3 SGR transmiison line phase 3 ni 347km 220kv line makutupora to tabora cost nu 90million usd 212bil tsh , PHASE 4 COST 56MIL usd , PHASE 5 COST 59MIL usd

My take

1.SGR cost transmiion line might cost 400mil usd alone to 500mil usd , which should be added to project ,.it might be benefical cause itaendeleza upatikanaji wa umeme kwenye miji na viji visivyokuwa na umeme kama watajenga vituo kupozea na kusambaza vijijini .

2. Rumakali, Ruhidiji, Kikonge should not be our priority , maybe upto 2028 , not sure our demand will be above 5000mw in 2030..and JNHPP, and other ongoing projects will be enough ..we shouldnt take more loans during this 8year period and focus on repaying previous loans ..
Rumakali, Ruhidiji na Kikonge ni 900mw, wachukue mkopo wajenge hiyo miradi wakauze huo umeme SADC power pool, hiyo pesa itarudi ndani ya miaka mitano na kama ni concessional loan yenye income-contingent repayments itachukua miaka 15 mpaka 30 kuwa matured for repayments. Tumejenga power pool infrastructures for sharing electricity without reliable power for business, hii ndio fursa
 
Swala la kutokua na watoto sio kigezo cha kwamba uwe shoga mzee muhimu anafanya tendo sahihi lakini kukosa mtoto ni issue nyingine na sio kigezo cha ushoga

Sasa kama sex sio lengo la kupata mtoto mm nimekuuliza simple questions mbona hujibu au huna hoja kwenye hilo 👇
Mimi sijui nitumie lugha gani unielewe. Kiufupi nimesema kuwa SEXUALITY ni complex. Kuna watu wameoana mwanaume na mwanamke na wanafanya VAGINAL AND ANAL SEX. Ni kitu wanachofanya kwasababu ni ATTRACTIVE na ENJOYABLE kwao. Lakini si kila mtu anafanya hivyo. Kwa hiyo usiseme kuwa anal sex ni act inayofanywa na gay people pekee. And just so you know, si kila shoga anafanya Anal sex kwasababu kama nilivyokwambia mwanzo kila mtu ana hisia zake. Kwa hiyo huwezi kusimama na idea moja ya what it means to have sex!
 
Back
Top Bottom