The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Hii mishoga humu imecharuka kweli kweli mpk inataka kutuharibia uzi qmamaaeee.
Asemaje kwan mpaka sasa hamujamuelewa tu 😅😅 mtoto wa kiume anakaza fuvu kutetea ushoga mbona hajitokezi kwenye media au akajirikodi mbele za watu akizungumza hvo kama anajua hvoUnataka kusemaje mkuu
Sasa unauliza swali gani hilo? Ww ukiona mtoto wa kiume anakaza fuvu ujue tayar washampasua tu 😅😅Kwani mkuu wewe ni shoga?
Hapana, lakini napenda haki na usawa. Inasikitisha sana kuwa leo hii bado kuna binadamu wasiopata haki na usawa. Wewe unafurahia wengine kunywimwa haki zao lakini nina uhakika utakuwa kwenye hali ngumu kama ukinyang’anywa ingalau hata haki moja unayfurahia kuwa nayo kila siku.Kwani mkuu wewe ni shoga?
Mkuu, hii ni dalili ya kukosa hoja kulinda kile unachokisimamia badala yake unaanza "personal attacks", sio sawa hata kidogo. Jenga hoja mkuu wachana na maneno ya kwenye vigodoro.Sasa unauliza swali gani hilo? Ww ukiona mtoto wa kiume anakaza fuvu ujue tayar washampasua tu![]()
Ndio maana nasema kuwa bigotry ndio hoja pekee waliyonayo watu kama hawa. Hakuna sababu nyingine. Yeye hapo anafikiri ameniweza. It’s funny when you think about it.Mkuu, hii ni dalili ya kukosa hoja kulinda kile unachokisimamia badala yake unaanza "personal attacks", sio sawa hata kidogo. Jenga hoja mkuu wachana na maneno ya kwenye vigodoro.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mtoto wako wakiume akitaka haki yake kuwa shoga utamshauri vp?Hapana, lakini napenda haki na usawa. Inasikitisha sana kuwa leo hii bado kuna binadamu wasiopata haki na usawa. Wewe unafurahia wengine kunywimwa haki zao lakini nina uhakika utakuwa kwenye hali ngumu kama ukinyang’anywa ingalau hata haki moja unayfurahia kuwa nayo kila siku.
Mtoto wa kiume unaejua wajibu wakuumbwa huwez kushadadia ushogo tusiharibu vijana kwa maslahi ya watu wachache ushoga sio mila ya africa na ukweli ndio huo hautabadilikaMkuu, hii ni dalili ya kukosa hoja kulinda kile unachokisimamia badala yake unaanza "personal attacks", sio sawa hata kidogo. Jenga hoja mkuu wachana na maneno ya kwenye vigodoro.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Haki inatolewa na mamlaka juu yangu. Mimi nitakachompa ni acceptance na upendo wa dhati. I’m happy to answer more questions.Mtoto wako wakiume akitaka haki yake kuwa shoga utamshauri vp?
Wajibu wa kuumbwa unaozungumzia ni upi?Mtoto wa kiume unaejua wajibu wakuumbwa huwez kushadadia ushogo tusiharibu vijana kwa maslahi ya watu wachache ushoga sio mila ya africa na ukweli ndio huo hautabadilika
Haki sawa iko kwenye kubadilisha maumbile sio 😅😅😅