Athari za kimaadili sio athari kwenye jamii?Unatafakari mawazo yako vizuri kabla ya kuandika? Unaona ni vyema Kwa polisi “kuwapoteza” watu Au wananchi kuua mtu?
Hebu niambie athari za jamii unazozisema ni zipo?
Sasa mbona mnalalamika kwa Marekani kuweka vikwazo?, Wacha tuone kati ya Uganda na Marekani, nani zaidi, niko palee nimekaa ninasubiri kuona nani ataibuka mshindiHuwez tumia ubabe wa misaada kulazmisha laana zenu ziwe kwa wengine haiwezekani



Kwani Mungu husema ukweli kija jambo?,Kwan science husema kweli kila jambo??
Hebu wewe nijibu ni kweli science iko perfect kwenye kila jambo ??
Ikiwa science yenyewe hua ina refer kwenye vitabu vya dini inaposhindwa jambo au mpaka hilo wakwambie pia
Kuwa specific. Athari zipi za maadili?Athari za kimaadili sio athari kwenye jamii?
Wananchi waleee
Anaweka vikwazo kwani uganda ni colony yake?? Kwann uweke vikwazo kwenye sheria za nchi nyingine hio ndio democracy wanayoinadi kila siku ulimwenguni au democracy iko africa tu 😅😅😅😅Sasa mbona mnalalamika kwa Marekani kuweka vikwazo?, Wacha tuone kati ya Uganda na Marekani, nani zaidi, niko palee nimekaa ninasubiri kuona nani ataibuka mshindi
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
MUNGU akuumbe alaf uwe mjuaji kuliko yeye yani akuumbe akupe na akili kiduchu alaf ujione mjanja kuliko yeye 😅😅😅 zuia uzee au kifo tuone kweli muna akili ya kwenda
Uliuliza swali na umejibiwa, kwa taarifa yako sio lazima ufanye sex siku hizi ndio upate mtoto. Hivi unajua kwamba siku hizi "Reproduction is done by cloning?". Mkuu get out of primitivity and get modern scientific knowledge".Kwann ukikojoa mkojo wa kawaida uume unakua haujasimama na kwann ukifanya tendo uume unasimama ?? Shida iko wapi?
😅😅😅😅😅
Mkuu tuwe wakweli na tuache unafiki, kati ya uasherati wa kutembea na wake za watu, au watoto wadogo na ushoga, kipi chenye athari kubwa ktk jamii?Athari za kimaadili sio athari kwenye jamii?
Hujajibu bado unazunguka tu iweje ukikojoa kojo la kawaida uume hausimami na kufanya tendo uume usimame ??😅😅 bado unataka kuamini kipumulio cha kutoa kinyesi kitumike kuwapumulia watu kisogoni yani MUNGU awaumbe alaf muwe wajuaji kuliko yeyeUliuliza swali na umejibiwa, kwa taarifa yako sio lazima ufanye sex siku hizi ndio upate mtoto. Hivi unajua kwamba siku hizi "Reproduction is done by cloning?". Mkuu get out of primitivity and get modern scientific knowledge".
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kuweka vikwazo sio demokrasia, ila kuminya uhuru wa raia wako kutokana na mtazamo wa kiimani na kimtazamo ndio demokrasia sio?.Anaweka vikwazo kwani uganda ni colony yake?? Kwann uweke vikwazo kwenye sheria za nchi nyingine hio ndio democracy wanayoinadi kila siku ulimwenguni au democracy iko africa tu
Yani kisa ww mkubwa uwapangie sheri wadogo alaf unajinadi unaijua democracy
Pale utakaa sana africa na ushoga bado sana tena sanana hvi one world order ndio inakufa tena ndio kabisaaa
Mkuu, huyo Mungu ameumbwa na nani?, Kama Mungu amekuumba hiyo ni Imani yako, kwanini unataka kulazimisha wote tuamini Kama unavyo amini wewe?.Hujajibu bado unazunguka tu iweje ukikojoa kojo la kawaida uume hausimami na kufanya tendo uume usimame ??bado unataka kuamini kipumulio cha kutoa kinyesi kitumike kuwapumulia watu kisogoni yani MUNGU awaumbe alaf muwe wajuaji kuliko yeye
Tulitegemea shoga nae abebe ujauzito ili tuamini hio science![]()
Wewe unajielewa kweli?kuweka restrictions haimaanishi dola hatuna zakutosha iyo miezi minne