Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania hao kina Cuba,China na Russia walikuwa front line ipi wakati hakuna vita ya ukombozi?
Ina maana mkuu hujui lolote kuhusu historian ya ukombozi wa kusini mwa Africa ambayo Leo imezaa SADC?

Hivi hujui kwamba Vladimir Putin iliishi Bagamoyo miaka ya 1970s akifundisha wapiganaji wa Zimbabwe kupambana na Ian Smith?, au Zimbabwe Msumbiji, Angola na South Afrika walipata Uhuru wao kwa maneno tu Kama sisi?


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ina maana mkuu hujui lolote kuhusu historian ya ukombozi wa kusini mwa Africa ambayo Leo imezaa SADC?

Hivi hujui kwamba Vladimir Putin iliishi Bagamoyo miaka ya 1970s akifundisha wapiganaji wa Zimbabwe kupambana na Ian Smith?, au Zimbabwe Msumbiji, Angola na South Afrika walipata Uhuru wao kwa maneno tu Kama sisi?


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Walikuwa kuwatumia na kutumia rasilimali zetu na kutuacha na umaskini, Marekani Huwa hafanyi huu ujinga
 
Hata hilo bwawa la Nyerere walidai halitajaza maji, yaani hawa watu hata sijui shuleni walikuwa wanasoma au wanakariri. Leo hii hata ujenzi haujaisha limejaa na kutapika.

Niliwahi huandika hapa kuelezea jiografia ya nyanda za juu kusini ambapo ndipo vyanzo vya maji ya hilo bonde la mto rufiji hutoka na kuelezea kwa nini mradi wa bwawa utakuwa successful.

Tanzania tuna vyanzo vingi sana vya maji, ukienda Morogoro, Lushoto, Kilimanjaro maji yanatririrka tuu. Kote huko kuna maporomoko na kingo za asili ambazo tungeweza kabisa kutengeneza vibwawa vya kuzalisha hata 200MW kwa kila bwawa.

Umeme wa jua unafaa kwa matumizi madogo madogo tuu ya nyumbani na kuendesha mitambo midogo midogo lakini sio ya kuingizwa kwenye grid ya Taifa. Gharama zake ni kubwa sana, na inahitaji eneo kubwa ambalo lingeweza kutumika kwa shughuli nyingine za manendeleo.
Kweli kabisa,walilipinga sana Hilo bwawa la nyerere ili lisijengwe kwa kisingizio cha ukame. Cha ajabu limejaa baada ya miezi tu kinyume hata na Makamba alivosema eti misimu 2 ya mvua.
Hapa inatufunza jambo, sio watanzania wote wanapenda Nchi hii
Isonge mbele.Kuna watu wako radhi kuua uchumi wa nchi kisa tu kuna visenti vichache wanapata kama rushwa

Bado tuna mito mingi Ambayo haijatumika kuvuna umeme. Mot kama Ruvuma,pale tungeweza pata zaidi hata ya 1,000MW lakini ndio hivo tena uongozi unatuangusha.Kuna wakati mpaka naona bora kuwe na utawala wa majimbo. Mfano jimbo fulani inaweza amua watege umeme wa maji,washushe bei ya umeme jimboni mwao na viwanda vishamiri. Na jimbo Jingine l linaweza amua kufunga umeme wa jua au upepo,alafu watajisifu wana umeme wa uhakika,bei ya umeme itakuwa juu,hakuna viwanda vitaweza kumudu bei,uwekezaji wa viwanda utashuka, mwisho wabaki kulia na kulikimbia jimbo Lao maskini

Kama tungeweza angalau kuwa na umeme wa maji wa angalau 10,000MW, tungeongoza afrika kiviwanda na hata uchumi kwani tungeweza shusha sana gharama ya umeme. Ujue,shetani mkubwa wa nchi hii ni tanesco na wizara yake. Kama tungeweza kumshinda huyo shetani,hii thread ya kenya vs TZ ingefungwa zamani sana.Ni aibu kwa nchi kama TZ kuzubaa na mpaka kufikia level ya kufanana na kenya.
Tumejichelewesha sana..inauma sana
 
Mkuu, katika hili Marekani hajakosea hata kidogo, yeye anasimamia msimamo na Imani yake Kama ambavyo Uganda inavyosimamia imani, tamaduni na msimamo wake kuhusu ushoga.

Marekani ameamua kutumia haki yake ya kikatiba ya kushirikiana au kutoshirikiana na Taifa lolote ambalo kwasababu zao wanadhani ni haki ya kufanya hivyo.

Wamarekani wameamua kutumia vikwazo Kama njia ya kupinga kile wanachoamini sio sawa kwa upande wake, hiyo ni haki Yao na hatupaswi Kulalamika, Uganda nao wanapaswa kutumia Uhuru wao kufanya lolote dhidi ya Marekani vile watakavyo kwa mujibu wa utamaduni na katiba Yao inavyowaruhusu, Marekani hapaswi kulaumiwa, Uganda haipaswi kulaumiwa, Kila mtu afanye kwa mujibu wa matakwa yake.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Uganda inaweza kuingillia masuala ya marekani?? Kwani marekani ni nani aipangie africa jinsi ya kuishi?? Kwann anaingilia masuala ya sheria za nchi ili iweje sikia bro kila nchi ina sheria na tamaduni pamoja na katiba huwez kulazmisha watu waishi unavotaka ww bro lazima uheshimu maamuzi ya nchi fulani na sio kuwapangia taratibu, mbona ugaidi ukitokea hua hawafundishi nn cha kufanya mbona wakifungwa maisha haji kuwafundisha wafanye nn au haki za binaadamu?? Acheni nchi za afrika ziwe na uhuru wa maamuzi musilete haki za binaadamu kwa kificho cha ushoga na usagaji
 
Our diplomatic stand is still the same, Russia's withdrawal from Ukraine and that will never change. My point is why didn't he visit tanzakundu which likes to bootlick them!?- you are irrelevant
Because we are non aligned country hence no need of convincing us but those that choose sides alot of diplomatic effort is needed to make them favourable to Russia.
 
Our diplomatic stand is still the same, Russia's withdrawal from Ukraine and that will never change. My point is why didn't he visit tanzakundu which likes to bootlick them!?- you are irrelevant
Ngoja chakula kije tutaona hiyo diplomatic stand yenu ikoje
 
Mbona hamkupiga kura tena mara ya pili wakat mara ya kwanza mulipigia kura nato na mara ya pili mukasema hamuna upande wowote why??

Au nikuletee ushahidi sasa hvi??
Hawa ni watu wakuangalia mkono wenye chakula ni upi
 
Back
Top Bottom