MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,512
- 15,095
Huwezi kuwa raia wa Tanzania bila kuukana uraia wa nchi yako ya awali kitu ambacho ni ngumu sana unless hao utakuta wengi wao wamelowea sana huku wengine wameoa na kuzaa huku fursa na biashara zimewafaidisha hasa hao jamii za Asia huku lakini kumiliki mali na ardhi hawawezi hivyo inabidi wawe raiaHuu uraia wa Tanzania unatafutwa sn, tukizubaa tutakuja kupokea mijitu hapa ikaharibu kizazi chetu na kuleta tabia zao mbovu kama za Kenya.
Kuhusu intelligence tuna vetting nzuri tu sema tunaidharau
Kuhusu tabia ukishakuwa Tanzania utanyooshwa tu utake usitake umekuta watu milioni 60 na ustaarabu wao itabidi uwende nao sawa hata hao watakaozaliwa watakuta tabia zetu na ndio hizo hizo wataiga ziwe mbovu au nzuri ndio hizo hizo huwezi badilisha watu million 60 ambao bado wanaendelea kuzaana na kukulia katika mazingira na tabia zile zile walizozikuta

