Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

DR wanaoigana tunapakana nao vipi mbona wasiende kusaidiwa?

Zimbabwe,Namibia,Angola,South Africa Zina mpaka upi na Tanzania Hadi usalama Wetu uwe mashalani?
Hayo ni mawazo yako itabidi ni ya heshimu.

Mwl. Nyerere atabaki kuwa shujaa wangu kwa ukombozi wa bara la Afrika.(hasa nchi za Kusini mwa jangwa la Sahara).
 
Sayansi mpaka leo imeshindwa kutoa jibu la tiba za magonjwa mengi tu mfano HIV, sayansi mpaka leo imefeli kutambua rangi ya upepo na wala shepu ya upepo, sayansi imeshindwa kutambua kwann kuna usiku, kwann kuna mchana na kivipi dunia inajiendesha kwa system kwamba miaka nenda rudi inajiendesha hvyo hvyo.

Sayansi imeshindwa kutambua chimbuko la mwanadamu ni nini, wanabaki kuongopa eti ni nyani, haya uyo nyani naye chimbuko lake ni wapi? Majibu hakuna.

Tuende mbele turudi nyuma japo sayansi tunaikubali mana nayo imetupa maendeleo fulani japo siyo makubwa kivile lkn kuna kitu fulani kipo nyuma ya pazia ambaye ndiye Mungu, uhai usitupe kiburi cha kuanza kuhoji uwepo wa muumba wetu.

Ok, mm sio mtu wa udini udini na huwa sipendi sana mijadala ya kidini lkn nina imani kubwa sana na muumba mana nikijiangalia tu naona nguvu yake, hata kama sio Mungu lkn huyo mwenye uwezo wa kuifanya dunia hivi ilivyo ndiyo kwangu namuita Mungu na hakuna cha kunirudisha nyuma, nitapinga ushoga, nitapinga ushenzi wowote ule kwa imani yangu.
Oya, sijui mnajadili nn, lkn kwenye mambo ya sayansi tulia mkuu 😅😎 naona unachapia sana
- ?
sayansi mpaka leo imefeli kutambua rangi ya upepo na wala shepu ya upepo
Wapi huko umesoma upepo (usambaaji wa hewa) una rangi na shepu?

- ?
sayansi imeshindwa kutambua kwann kuna usiku, kwann kuna mchana na kivipi dunia inajiendesha kwa system kwamba miaka nenda rudi inajiendesha hvyo hvyo.
Jua liko sehem moja na dunia ndo inazunguka kwenye mhimili wake kuzunguka jua.. so kama jua liko kulia, bas upande wa pili wa dunia yani kushoto kutakuwa na giza ambao ndo usiku, and vice versa
 
Sayansi mpaka leo imeshindwa kutoa jibu la tiba za magonjwa mengi tu mfano HIV, sayansi mpaka leo imefeli kutambua rangi ya upepo na wala shepu ya upepo, sayansi imeshindwa kutambua kwann kuna usiku, kwann kuna mchana na kivipi dunia inajiendesha kwa system kwamba miaka nenda rudi inajiendesha hvyo hvyo.

Sayansi imeshindwa kutambua chimbuko la mwanadamu ni nini, wanabaki kuongopa eti ni nyani, haya uyo nyani naye chimbuko lake ni wapi? Majibu hakuna.

Tuende mbele turudi nyuma japo sayansi tunaikubali mana nayo imetupa maendeleo fulani japo siyo makubwa kivile lkn kuna kitu fulani kipo nyuma ya pazia ambaye ndiye Mungu, uhai usitupe kiburi cha kuanza kuhoji uwepo wa muumba wetu.

Ok, mm sio mtu wa udini udini na huwa sipendi sana mijadala ya kidini lkn nina imani kubwa sana na muumba mana nikijiangalia tu naona nguvu yake, hata kama sio Mungu lkn huyo mwenye uwezo wa kuifanya dunia hivi ilivyo ndiyo kwangu namuita Mungu na hakuna cha kunirudisha nyuma, nitapinga ushoga, nitapinga ushenzi wowote ule kwa imani yangu.
Tatizo la watu wenye kuamini dini lipo hapo, kutaka kulazimisha na kuaminisha Dunia kwamba "Mungu" ndio mwisho wa Kila kitu, hiyo ni Imani tu, kwa ambaye hana hiyo Imani asilazimishwe kuamini Hilo, Kila mtu awe huru kuamini nakufuata akili yake.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, dini ni nini?, ilikuja toka wapi?, Ililetwa na nani?, kwasababu gani?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mbona sasa mkuu umequote pale palipozungumzia dini?

Dini ni mfumo wa ibada za kiroho kati ya mwanadamu na Mungu, ni kuwa na uhusiano wa karibu na Mungu ili mwandamu aishi katika matendo mema na kuyaacha yale mabaya.
 
Oya, sijui mnajadili nn, lkn kwenye mambo ya sayansi tulia mkuu naona unachapia sana
- ?

Wapi huko umesoma upepo (usambaaji wa hewa) kuna rangi na shepu?

- ?

Jua liko sehem moja na dunia ndo inazunguka kwenye mhimili wake kuzunguka jua.. so kama jua liko kulia, bas upande wa pili wa dunia yani kushoto kutakuwa na giza ambao ndo usiku, and vice versa
Mkuu baki na msimamo wako.
 
Wanajifanya wana sayansi hawana dini ? sayansi ilijuiliza kuhusu wapi chuma inatoka zaidi ya karne 5 majibu hawana wakaja kupata kwenye kitabu cha dini na mwanasayansi huyo alikiri kabisa waziwazi
Yaani mkuu kuna ukengeufu mkubwa kwa watu kuhusu dini na Mungu.

Hata baadhi ya wazungu huwa wanawaza na hawafiki mwisho wanaishia kusema there must be someone up there .

Ila kusema Mungu wanapata kigugumizi.

Kama hawaamini Mungu na uchawi je?
.
 
Sayansi mpaka leo imeshindwa kutoa jibu la tiba za magonjwa mengi tu mfano HIV, sayansi mpaka leo imefeli kutambua rangi ya upepo na wala shepu ya upepo, sayansi imeshindwa kutambua kwann kuna usiku, kwann kuna mchana na kivipi dunia inajiendesha kwa system kwamba miaka nenda rudi inajiendesha hvyo hvyo.

Sayansi imeshindwa kutambua chimbuko la mwanadamu ni nini, wanabaki kuongopa eti ni nyani, haya uyo nyani naye chimbuko lake ni wapi? Majibu hakuna.

Tuende mbele turudi nyuma japo sayansi tunaikubali mana nayo imetupa maendeleo fulani japo siyo makubwa kivile lkn kuna kitu fulani kipo nyuma ya pazia ambaye ndiye Mungu, uhai usitupe kiburi cha kuanza kuhoji uwepo wa muumba wetu.

Ok, mm sio mtu wa udini udini na huwa sipendi sana mijadala ya kidini lkn nina imani kubwa sana na muumba mana nikijiangalia tu naona nguvu yake, hata kama sio Mungu lkn huyo mwenye uwezo wa kuifanya dunia hivi ilivyo ndiyo kwangu namuita Mungu na hakuna cha kunirudisha nyuma, nitapinga ushoga, nitapinga ushenzi wowote ule kwa imani yangu.
Mkuu. Chanzo chote cha maarifa ni Mungu.

Mungu anaumba watu wenye akili ili watatue matatizo ya wengine ila hao hao ndio wanakuja kuabudiwa.
 
Hata dini mkuu, zimeshindwa na kukosea katika maeneo mengi kushinda hata sayansi. Uzuri wa Sayansi ni kwamba ni kitu kinachokua na kubadilika Kila siku. Quran na Bible ndio zimefika mwisho, there is no new updates ",,

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mkuu.Kila kitu kimeandikwa hapa tunaishi kwa matokeo ya kile kilichotabiriwa miaka elfu nyingi zilizopita.
 
Tuelimishane.. nieleze vizur niondoe ujinga
Kwa unavyojua wew
- Upepo una rangi na shape? Kivipi.. umeitoa wapi

- Usiku na mchana ni matokeo ya nn?
Yan nataka majibu unavyojua wew.
Yah according to holy books upepo ni kiumbe hai, so lazima kitakuwa na rangi na shape pia.
 
Upepo ni kiumbe hai? Woow interesting..
Yes, ni kiumbe hai ndiyo na ndiyo maana Yesu aliamuru upepo tulia ukatii. Kuna viumbe hai vingi tu sayansi bado imeshindwa kuvijua, mfano ardhi, maji, upepo n.k

1. Ardhi ni kiumbe hai ndiyo maana inakuwa, inaishi na inakufa.

2. Maji ni uhai, hatuwezi kusema hivyo alafu maji yenyewe yasiwe hai.

3. Upepo nishaelezea...
 
Mwanadamu yupi Mkuu?
Hata yule wa kenya alianzisha dini yake.. akasema mkishinda njaa na mkikufa mtaenda mbinguni.. hio ni dini tayari.. ndo mana kuna uislam, ukiristo, ubudha, etc..
mf, hata yule wa kenya angesema alichofanya tukiite sijui 'shakobambi' sijui nn... ingeitwa dini kwa hilo jina.. so matokeo yake watu wangesema sisi dini yetu (tuipe jina chakobambi) inasema ukishinda njaa na kufa utaenda mbinguni
 
Back
Top Bottom