Hizo Mara nyingi ni storI za kufungulia maji halafu yatoke usiku,kesho yake wanasema ukame.Wanafanya yote hayo kuihujumu Nchi. Hebu fikiria,miaka michache nyuma stories za ukame ziliisha na mgao wa umeme hatukuusikia. Leo hii mambo ni ya Ajabu, umeme unakatika kila siku.
Najua watanzania tumerogwa, aliyeturoga tunamjua,na kibaya hata kupiga kelele tu hamtaki.
Hilo bwawa la Ruffiji halitoshi, labda yangejengwa matano kama hayo.
Vibwawa vingine umevitaja hata haviwezi kuwasha kiwanda,ni vidogo Mno.