Nani kakudanganya huu mchezo hautakaa uishe Kenya halafu sisi Tanzania tuna accountability kubwa sana kwa public finance hela inayopigwa ni ndogo sana compared na yenu.Hapo sawa, vitu vinaanikwa wazi wazi..., am having a field day, we will iron out all creases in Kenya.., nyoka lazima akue exposed ndio auwawe, kama amejificha nivugumu kumuua.., Kenya iko sawa, ila Tanzania bado sana, your disease is still hidden or covered...,
Kweli hapo kwenye DGP mmetuzidi hata hatuelewi ni nini hiyo DGPDGP is just gross domestic product. Ki ufupi ni kwamba uzalishaji wetu ipo juu kuwazidi. Inauma ila mtazoea tu




Acha uongo wewe usisingizie global recession kwani sisi Tz na nchi nyingine zinazowazunguka tunaishi Mars?Hapana mkuu., baba ako deluded, even though I voted for him he is not honest.., the current situation is beyond Kenya, ni global recession, triggered by ukraine war and other factors, dollar has strengthned against all major currencies, which is normal kwa any crisis as it is considered a safe haven currency, yaani the wealthy and many corporations buy dollars to hedge their wealth against recession, so dollar na gold zinapungua (dhamani yao inapanda)kwa vile demand iko high, na hiyo ina affect prices ya goods kwa vile bei ya mafuta inapanda as it is quoted in dollars. Raila angekua mkweli angeambia wafuasi wake kuna global recession ukiongezea prolonged drought kisha aulize serikali iko na mikakati ipi kupambana na hali ilivyo duniani, akiona hajaridhika atoe opinion yake wakikataa awasukume.., sio kusema eti Ruto ameshindwa na kudanganya wafuasi wake eti seikali ya Ruto ndio sababu ya masaibu yao he is obviously taking advantage of the situation to gain political milaege., I am an independent thinker.., I voted for his manifesto sio vioja vyake..., apumzike na yeye.., we lost fair and square, nimefanya uchunguzi wa results from many sources...,as team Azimio we lost it.
Hii ni real cargo plane famasiala sio zile za conversion kama za jiraniAir Tanzania 767 Cargo
Muje kuanza kusema sijui mtumba sijui used wakati kitu kimetoka kiwandani Boeing View attachment 2542505
DGP ndio kitu gani???? 🤣🤣🤣🤣🤣DGP is just gross domestic product. Ki ufupi ni kwamba uzalishaji wetu ipo juu kuwazidi. Inauma ila mtazoea tu
Kwasababu ninashangaa Sana jinsi mnavyoishi maisha ya hovyo huko kwenu. Kabla sijajiunga JF, nilikua sijui lolote kuhusu Kenya, lakini baada ya kuanza kuifuatilia ndivyo ninavyozidi kuwashangaa, Yani Kila siku ninaona mambo mapya ya hovyo."Hatuna nchi" yet you be following our news so much, I even get our news from you... even I hardly watch TV News, last time I did was last year...
Kwasababu mpo na vituko Sana, Yani tunacheka na kuwashangaa Sana, ninyi ni Kama wenye matatizo ya akili. Kila siku lazima mje na jambo la kuchekesha na kushangaza.Si mnapenda kufuatilia Kenyan News wadau![]()
These guys still counting the ugly overcrowded kariakoo as their cbd area.....an overrated umoja innercoreKariokoo ni sehemu ya CBD yenu, yaani extension mzee..., nikama Nairobi CBD na downtown ama Ngara.., so hamna lolote nyie...., Dar CBD ni moja tu, kwisha..., na appartments ama maghorofa za waarabu😆😆😆😆😆
is this a war memorial town........lolKunyaland this is not a City na Wala hakuna uswazi anywhere.
Awesome Songea with bralliant Majimaji stadium View attachment 2541392View attachment 2541393View attachment 2541394View attachment 2541395View attachment 2541396View attachment 2541397View attachment 2541398
usual crapHutaki kuskia ukweli, hii haiwezi kua commercial zone bana. Be serious.
![]()
Hapo kwenye rangi nyeupe wangepiga rangi inayo reflect mambo ya Tanzania kama utalii kwa kuweka picha za wanyama au cultural paint.Air Tanzania 767 Cargo
Muje kuanza kusema sijui mtumba sijui used wakati kitu kimetoka kiwandani Boeing View attachment 2542505