Sasa watu Kila siku mnatukanana na polisi kupiga watu wanaojaribu kuwekeza shida za wananchi Kama anavyofanyiwa Eric Omondi, nchi haina utulivu ni fujo Kila siku.
Huko wafugaji wanapigana risasi na watu kuuliwa, huko kwengine no njaa watu wanakufa, huko Nairobi ni mapambano na polisi. Huko Ikulu wanatumia pesa hovyo for "Entertainment" hadi serikali inafilisika mnaomba Tanzania tuwasaidie pesa za kuagizia mafuta. Hivi ninyi mko na nchi au ujinga mtupu?
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app