Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

"Hatuna nchi" yet you be following our news so much, I even get our news from you... even I hardly watch TV News, last time I did was last year...
News zenu kwetu sisi ni comedy during ample time i normally soothes myself with Kenyan news.
 
Nawapenda sana waTz wa humu JF kwasababu sio longa longa sana wao wanasubir kupost matokeo tu na ni kwa muda then Wana wanapiga kimya ka hakija tokea kitu .. currently Tz kuna miradi mikubwa karibu 100 inayoendelea ujenzi wake .. DAR alone kuna miradi ya hizo overpasses karibu 10+, BRT phase 2 and phase 3 underway.. DMDP phase 2. Miradi ya nyumba, pale migo,Kawe+temeke+ EA's commercial and logistics center and a lot of private properties all around the city.. kweli wadau mnakimbiza mwizi kimya kimya..
 
334970601_1238818603681532_3929653306110443743_n.jpg
 
Aisee Ile kauli ya mh. SSH imewa.uma wakenya!🤣🤣🤣🤣

Ndio maana kulikuwa na deliberate move ya kumsifia Samia kwenye Birthday yake kumbe ilikuwa ni strategy ya kupitisha ‘bakuli’? 😅😅

I sensed that anyways, ukiona hawa jamaa wanakusifia jua wanataka kukushika matako, stuka haraka sana na kimbia😂😂
 
Naskia mama kawachomolea nje 🤣🤣🤣 walitaka tuwaekee guarantee ya kuagiza mafuta nje kwasababu hawana pesa z kigeni
 
Back
Top Bottom