Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kariokoo ni sehemu ya CBD yenu, yaani extension mzee..., nikama Nairobi CBD na downtown ama Ngara.., so hamna lolote nyie...., Dar CBD ni moja tu, kwisha..., na appartments ama maghorofa za waarabu😆😆😆😆😆
🤣🤣🤣 Wivu unakuzidi mpaka leo umetoa mipaka ya DAR CBD.? Aisee
 
Kundustan walivyo choka kutafuta dollar Tanzania
20230309_011710.jpg
 
SPACE CADET na wewe toka kwa hii thread nenda kwenye habari na hoja mchanganyiko ukazubae kule na wenzako, yani una dislike kila kitu, kutoka pande zote..., jipe shughli.., 😡😡😡 nyambaff, ama haujui maana ya emojis unazotumia
 
Kwahiyo wewe Egypt ikipata shida kwasababu ni nchi tajiri kuwazidi, ninyi hamuwezi kujisimamia?, Sasa pamoja na matatizo ya Egypt mbona hawaombi fedha za kigeni toka nchi jirani na Wala wananchi wao hawana tatizo la njaa?

Ninyi huko kwenu ni fujo, hata watu wa kawaida wanapotaka kusaidia watu wengine kwa kuwagawia wakenya wenzao unga, wanakamatwa na kuwekwa ndani.

Hivi kwanini nchi yenu ikifilisika mnakuja huku kutuambuliza matatizo yenu?, Sisi tumetulia tunakusanya pesa zetu za kigeni, ninyi mnakuja kuzifuata, kwanini msiende Somalia na South Sudan kwenye fujo Kama hapo kwenu?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Akili finyu..,
 
AfricaContracts and TendersLNG Terminals
Shell and Equinor complete talks on $30 billion Tanzania LNG project
By
LNG Prime Staff
March 7, 2023
Shell and Equinor complete talks on $30 billion Tanzania LNG project
Image: Shell

Equinor and Shell have completed talks with the government of Tanzania regarding the planned $30 billion LNG export project in Lindi.

Last year, Equinor and Shell signed a framework deal with Tanzania to develop the LNG export project.

The deal precedes a host government agreement. Tanzania expects a final investment decision on the project in 2025, while the construction could take about 4 to 6 years, Tanzania’s officials said at the time.

Tanzania’s energy minister January Makamba said on March 6 that discussions between the government of Tanzania and the project’s investors Shell, Equinor, and their partners have been completed, according to a statement by the energy ministry.

The minister said that experts are currently working on two large contracts, and each of the contracts has more than 600 pages.

One contract is for the HGA and the other is a production sharing contract for three natural gas blocks which will supply the LNG project.

“This is not a small task but I have insisted that they finish the work this month to be able to continue with other implementation steps,” Makamba said.

He said that the project worth more than $30 billion would bring “a major economic revolution” in the country and would make Tanzania “one of the countries that contribute to energy security in the world.”

Equinor and Shell are both operators of large gas discoveries off the country’s coast.

The Norwegian firm and partner ExxonMobil discovered more than 20 trillion cubic feet of gas in Block 2 offshore Tanzania, according to its website.

Also, Shell says it has about 16 Tcf of natural gas in Block 1 and 4.

Previous reports suggested that the capacity of the planned LNG export facility in Lindi would be about 10 million tonnes per year

 
nchi yenye chama moja hamtawai jua vile mnatafunwa kamwe., angalau mama aliumbua porojo za muendazake za kutokukopa.., vumilia na hilo taifa lenu hovyo, wachana na ya Kenya, huku hamfiki karne hii.., bado mko kwenye giza, ndio maana hamsongi na hamjui ni nini tatizo..,
Msituchezee tutazuia guarantee ya dollar za mafuta halafu muanze kutafutana huko
 
Back
Top Bottom