Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua hawa kundustan hawaamini kinachoendelea Tanzania vimeshushwa au vimeanza na hatua kwa hatua
Na hii ni dalili kua hawa jamaa mawazo yao mengi walikua wakifkiri dunia haizunguki yani mawazo yao wanahisi tanzania au uganda ni zile za 90s 😆😆 yani hawana exposure ya kujua dunia iko wapi na imefika wap yote ni kwasababu wanadanganywa na wanasiasa ambao wanajitajirisha
 
Hapo kwenye rangi nyeupe wangepiga rangi inayo reflect mambo ya Tanzania kama utalii kwa kuweka picha za wanyama au cultural paint.
Yeah special livery ni plan nzuri ya kutangaza tourism sio kwenye hiyo tu dreamliner na airbus zote 4 na mAx 9 ziwe na livery

Mfano Max 9 2 waziwekewe livery
1.Labda Climb Mount Kilimanjaro Livery inakuwa imechorwa mlima wa kilimanjaro
2. Kilwa Ruins maybe the land of Swahili Culture inakuwa inapicha za kilwa ruins

Na nyingnezo
 
20230309_141141.jpg
20230309_141144.jpg
 
Kwa ukichaa huu, kwanini nchi isifilisike?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hii kitu kila siku tumekuwa tukiwaimbia humu ndani hawa jamaa hawana prioritization nzuri kwenye miradi yenye tija kiuchumi hata leo mimetoka kuwaonyesha wapi wamekosea badala ya kusingizia global recession.

Hivi kwa akili ya kawaida kabisa hata kama hujaenda shule unaweza kuhangaika kutafuta funds za kujenga railway city while majority of your citizens are dying of hunger? Why don't you prioritise dams for irrigation to increase acreage under food cultivation hapo uta solve tatizo la njaa na ku reign in on inflation pamoja na kupunguza imports na kuongeza exports.

Hata mtoto wa primary atakuambia hii ni sahihi.
 
Kipindi Cha uongozi wa Uhuru na Rutto. Dr.David Ndii alikua upande wa upinzani, alikua anawaambia Kama wewe unavyosema, jambo la kusikitisha ni kwamba, hivi Sasa yeye ndiye mshauri mkuu wa Rutto katika uchumi lakini anafanya ujinga uleule aliokua akiupigia kelele

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom