ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ilala are u happy now 🤣🤣🤣This is Eastleigh
View attachment 2540989View attachment 2540991
Niletee picha kama hiyo hapo Dar nje ya cbd tuone
Ilala are u happy now 🤣🤣🤣This is Eastleigh
View attachment 2540989View attachment 2540991
Niletee picha kama hiyo hapo Dar nje ya cbd tuone
Nairobi bila CBD westland and upperhill ni hakuna kitu kimebakia bro huu ndio ukweli hata ukikasirika haisaidii🤣🤣🤣🤣🤣Ungejibu swali badala ya kutoa povu. Na kama huna jibu heri unyamaze
Yani hawa watu ni kama kondoo vile 🤣🤣Ilala 🤟View attachment 2540996.. Nicxie. Pitia hii
Ni dakika chache tuu nilikuwa najiuliza kimemkuta nini kamanda?Kimemkuta nn jamaa 😀
View attachment 2540266
Hizo tatu ni proper commercial zones. Dar ina ngapi? Moja tu, ile area ingine ina ghorofa tano zinafwata barabara haiqualify hata kua commercial zone. 🤣 🤣 🤣Nairobi bila CBD westland and upperhill ni hakuna kitu kimebakia bro huu ndio ukweli hata ukikasirika haisaidii🤣🤣🤣🤣🤣
Residential and Industrial zones.Yani hawa watu ni kama kondoo vile 🤣🤣
Hvi nairobi ukitoa CBD upperhill na westland nn kinabakia hapo
Utalia hadi lini.?Hizo tatu ni proper commercial zones. Dar ina ngapi? Moja tu, ile area ingine ina ghorofa tano zinafwata barabara haiqualify hata kua commercial zone. 🤣 🤣 🤣
Utalia hadi lini.?The only commercial zone in Dar ndo ile pale nyuma. While Nairobi has 3.
![]()
Hutaki kuskia ukweli, hii haiwezi kua commercial zone bana. Be serious.Utalia hadi lini.?
Hiyo inaweza kuwa nini according to you.?Hutaki kuskia ukweli, hii haiwezi kua commercial zone bana. Be serious.
![]()
And sorry hili eneo halipo hiv kwasasa, can you please use the current photos.? Au unataka utumie picha hii ikupe moyo.?Hutaki kuskia ukweli, hii haiwezi kua commercial zone bana. Be serious.
![]()
Residential zone. Yani kumejengwa kama zile shopping center za ushago, maduka ziko kando ya barabara ju the surrounding area haina barabara za lami so center ina expand ikifwata barabara ya lami. 🤣 🤣 🤣Hiyo inaweza kuwa nini according to you.?
What's new? Kama hio area ime expand na ndani ghorofa zikawacha kufwata hio highway nionyeshe nifunge account.And sorry hili eneo halipo hiv kwasasa, can you please use the current photos.? Au unataka utumie picha hii ikupe moyo.?
Hzo tatu ziko almost same area from CBD to westland 3km from CBD to upperhill 3km hapa unajisifia kitu gani??? 🤣🤣🤣🤣Hizo tatu ni proper commercial zones. Dar ina ngapi? Moja tu, ile area ingine ina ghorofa tano zinafwata barabara haiqualify hata kua commercial zone. 🤣 🤣 🤣
Utalia hiyo hadi lini mzee, google earth ipo uhakiki your claims. Au umechagua kuponda ujifurahishe...? haikatazwi pia, Ila we jua tu maneno yako hayabadilishi chochote kilichopo hapo.. endelea kuumia 🤟Residential zone. Yani kumejengwa kama zile shopping center za ushago, maduka ziko kando ya barabara ju the surrounding area haina barabara za lami so center ina expand ikifwata barabara ya lami. 🤣 🤣 🤣
Mukioneshwa ukweli munakasirika😆😆Hutaki kuskia ukweli, hii haiwezi kua commercial zone bana. Be serious.
![]()