Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
Nairobi CBD unatuonyesha commercial center pekee without parks, museum and railway station alafu Dar unaweka hadi golf course plus museum and recreational areas. Watu sio wajinga bana. 🤣 🤣 🤣 🤣 Angalia tena hizo screenshot zako uone nusu ya area unaita CBD in Dar ni kiwanja tupu.Kariakoo haiko CBD aliekwambia kko iko CBD ni nani??🤣🤣🤣
Hii hapa nairobi CBD haya utaniambia nn kingine 😆😆😆 2.2km sq View attachment 2541239View attachment 2541240
CBD dar 👇👇👇2.8km sq
View attachment 2541253
Ficha ujinga wako wakati mwingine at least ubakize hata heshima kidogo ambayo huna anyways. DJ mixer za kisasa zinaweza kupata umeme toka kwa laptop ambayo tayari iko charged, bluethoot speakers karibu zote ni rechargable, bado ulitaka abebe generator au power supply toka power company to run those little electric devices? Alafu nyie ndio mnasema mna elimu kutushinda? Mna laana nyie watu sio bure.Acheni upuuzi sasa 😂 you guys are being pettier day by day..
Btw sioni battery/source of power
Kilimani, Eastleigh, Parklands, Mombasa road area not forgetting the vast Eastlands yenye Dar haina jibu yake ni uswazi kushoto kulia, hadi raha, 😝 😝 🔥 🔥 😂 😂 😂 😂 ., uhali gani lakini? ni mda mrefu, ila naona bado mnatapatapa na vijisababu uchwara, jibu bado hamuna, vijisababu vya kujiliwaza tu😝😂😂😂😂, wacha niende zangu, nitag train za umeme zikianza kazi...,Sasa ukitoa upper hill cBD na westland nairobi imebakia kitu gani hebu ww zungumza kama mwanaume 🤣🤣🤣🤣
Ulifinywa penyewe, ebu soma hiyo response yako uchwara, hauna jibu, dogo tuende zetu tufanye biashara, hapa hauna lako isipokua porojo na kulazimisha fikra na hisia zako😂😂😂😂, njoo huku njee tuendelee kutengeneza hela ndefu, hapa ulishindwa kabisaaa 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Hii ni nn sasa 🤣🤣🤣🤣 nairobi ukitoa westalnd cbd na upperhill hakuna kitu kimebakia bro huo ndio ukweli
Picha ya mbali sana kujiliwaza, Nje ya hapa hamna kitu Dar is slum..,
Acha ujinga wewe, sikua nazungumzia barabara, na huku pia kuna Nyerere road ina HQ ya makampuni mengi kuzidi hata hayo.Mombasa road Ina HQ ya Airtel Kenya, Isuzu East Africa, Nissan Kenya, Panari Hotel, Ole Sereni Hotel n.k na hauiesabu kuwa CBD. Wacha umbwakni.
Mbona siku hizi sikusikii ukisifia KDF?Dar es Salaam kazi yake iliisha kitambo sana.., jiji la CBD moja tu..., sasa ni hadithi za alinacha na wishful thinking, na kujiliwaza tu humu..., Nairobi imeizidi Dar tena kwa mbali sana...,
View attachment 2541462
View attachment 2541455
View attachment 2541459
View attachment 2541460
Arusha ifike hapa kwanza ndio utaje Kenya 😂 😂 😂 👇 👇 👇 👇Nairobi fikeni hapa Kwa Arusha ndio mje kushindana na Dar
View attachment 2541468
Umewai niona nikisifia army kweli? it ain't my cup of tea, ila naumbua mijisifa yenu kwa kale ka kajeshi kenu kakongwe na mnyonge, tpdf.., panga boys..,
The thread at 1st was informative before it went to the dogs with too much garbage & emotionsStill too much repetitions.., nothing new!!!.., am gone!