Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama kawaida yao siku zote kuanza chokochoko za kibiashara uwanja unapoinama.

@Choice Variable , Jamaa zako hao wanaendelea na fujo zao. Never trust these people in anything.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Huu ni uchafu gani unatuonesha wewe hebu wakat mwengine kueni serious kidogo 🤣🤣
tuonyeshe safi yenu yenye maghorofa zaidi ya Eastleigh nje ya Dar CBD basi, nakubali ni uchafu kwa raha zako.., sasa leta anything to measure up,..., sina haraka...,
 
tuonyeshe safi yenu yenye maghorofa zaidi ya Eastleigh nje ya Dar CBD basi, nakubali ni uchafu kwa raha zako.., sasa leta anything to measure up,..., sina haraka...,
Sina muda mchafu bro eastleigh hakuna mtu hajui ni sehemu chafu kuliko sehemu yoyote ukiweka kando slums 🤣🤣🤣 na sometime naskia wakiita slum

Sehemu ambayo magorofa yamatope yametapakaa 😆😆😆

20230308_220345.jpg

Mbwa kala mbwa 😆😆😆😆

nchi yenye chama moja hamtawai jua vile mnatafunwa kamwe., angalau mama aliumbua porojo za muendazake za kutokukopa.., vumilia na hilo taifa lenu hovyo, wachana na ya Kenya, huku hamfiki karne hii.., bado mko kwenye giza, ndio maana hamsongi na hamjui ni nini tatizo..,
 
Hakuna kuumbua chochote alietoka ni CCM aliengia ni CCM kilichobakia ni siasa tu kama kiini macho lakini lao ni moja bro

Bora ya sisi hatuna matabaka na makabila nyinyi ni kalenjin na kikuyu kwisha 🤣🤣🤣 ndio maana munaoasuana kila kukicha
 
Sina muda mchafu bro eastleigh hakuna mtu hajui ni sehemu chafu kuliko sehemu yoyote ukiweka kando slums 🤣🤣🤣 na sometime naskia wakiita slum

Sehemu ambayo magorofa yamatope yametapakaa 😆😆😆

mwehu kakwepa(tweets za 2019 na 2021 ilhali tuko 2023)😆😆😆😆😆😆, Dar yoote na Tanzania hautapata anything close to Easleigh nje ya Ka CBD kenu kamoja.., sema umekosa jibu wacha kukwepa na vijisababu, nyambaff..,
Ukweli unabakia pale pale, hizi ghorofa zilizoko Eastleigh, nje ya Nairobi CBD, ya Westlands na Upperhill.., ukipata sehemu yoyote nje ya Dar CBD yenye ghorofa kama hizi usiogope kunitag.., kalilie kwa choo 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆
1668492266446-2-png.2542237

1668492311015-2-png.2542238
 
Hakuna kuumbua chochote alietoka ni CCM aliengia ni CCM kilichobakia ni siasa tu kama kiini macho lakini lao ni moja bro

Bora ya sisi hatuna matabaka na makabila nyinyi ni kalenjin na kikuyu kwisha 🤣🤣🤣 ndio maana munaoasuana kila kukicha
Mmezubaa mpo mpo tu.., clueless, Mama kaumbua mwendazake, sasa hana lingine, bora siku zisonge.., Tanzania sioni ukombozi wenu hivi karibuni..., wacha sisi tusumbuane hadi kieleweke..., nyie endeleeni kuzubaa vijiweni eti nchi yenye amani na utulivu kumbe ni ujinga wa kutokujua na kuelewa siasa😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
 
mwehu kakwepa😆😆😆😆😆😆, Dar yoote na Tanzania hautapata anything close to Easleigh nje ya Ka CBD kenu kamoja.., sema umekosa jibu wacha kukwepa na vijisababu, nyambaff..,
Ukweli unabakia pale pale, hizi ghorofa ziko Eastleigh, nje ya Nairobi CBD, Westlands na Upperhill.., ukipata sehemu yoyote nje ya Dar CBD yenye ghorofa kama hizi usiogope kunitag.., kalilie kwa choo 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆
1668492266446-2-png.2542237

1668492311015-2-png.2542238
Sasa nikosea jibu gani maanake naona kama unachekesha tu hapa 🤣🤣 dar yote ikose kama eastleigh kuna sehem inaeza sogeza pua kwa magorofa kariakoo kenya nizma ipo hio sehem ???🤣🤣🤣
 
Sasa nikosea jibu gani maanake naona kama unachekesha tu hapa 🤣🤣 dar yote ikose kama eastleigh kuna sehem inaeza sogeza pua kwa magorofa kariakoo kenya nizma ipo hio sehem ???🤣🤣🤣
Kariokoo ni sehemu ya CBD yenu, yaani extension mzee..., nikama Nairobi CBD na downtown ama Ngara.., so hamna lolote nyie...., Dar CBD ni moja tu, kwisha..., na appartments ama maghorofa za waarabu😆😆😆😆😆
 
Kariokoo ni sehemu ya CBD yenu, yaani extension mzee..., nikama Nairobi CBD ba downtown ama Ngara.., so hamna lolote nyie...., Dar CBD ni moja tu, kwisha..., na appartments ama maghorofa za waarabu😆😆😆😆😆
Unawazimu wa kichwa wewe aliekudanganya kariakoo ni sehem ya CBD ni nani ????

CBD hii hapa 😆😆😆😆😆
Down town yenyewe ni part ya CBD kama umabisha sema nikuletee ushahidi
Screenshot_20230308-065313.png
 
Hii Mombasa imejibu kikamilifu.., yaaani sehemu ya Dar CBD..., the only developed area in Dar is slum, uswazi city.., tafadhali kojoa ulale 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
Downtown ni sehwnu ya CBD nairobi na ushahidi ni huu 😆😆😆👇👇👇
Na hii ni google earth sio mm
Screenshots_2023-03-08-06-43-19.png
Screenshot_20230308-064508.png
 
Back
Top Bottom