Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umejikaza kujieleza ndivyo unavyofikiria Kenya ilivyo., pole sana.., isolated cases sio picha ya taifa kama unavyotamani ikue wewe, alafu sijaona sehemu mtu amekufa kwa njaa.., ama wewe umeona unijuze na evidence in 2023?.., wachana na siasa zetu zitambe, tunajijua wenyewe, na tutaelewana, nyie endeleeni kuzubaa na hamna lolote la maana..., hauwelewi uchumi ata kidogo..., unakurupuka tu kimandazi, tafuta elimu kwanza kisha uje...,
Sasa mbona mnatusumbua kuja kuomba tuwape pesa za kigeni kwa ajili ya kununua mafuta toka nje?, Kwanini makampuni na wafanyabiashara wenu wanakuja kutafuta $ zetu Ili waagize bidhaa toka nje?.

Ninyi nchi yenu imefilisika, mnataka kuhamisha matatizo yenu yaje huku kwetu sio?. Nchi yenu haina usalama karibu nusu ya nchi Kuna bandits, huku Rutto anapambana na Matiang'i analipiza kisasi, ukigeuka huku Raila anadai ameibiwa kura anaitisha maandamano ya kuingasha serikali.

Hivi ninyi ni watu wa aina gani?, Msituambukize upumbavu wenu, nchi zote zimetulia zinajenga uchumi wao, ninyi ni fujo Kila siku.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wenzenu wanaiba hela, nyie mnashangilia kuwa na millionaires wengi, wezi wa fedha za umma

Mbona imejulikana, nyie mnatafunwa tangu uhuru na bado mpo mpo tu.., maana ya CCM ni Chama Cha Mafala kiukweli...,
 
Sasa mbona mnatusumbua kuja kuomba tuwape pesa za kigeni kwa ajili ya kununua mafuta toka nje?, Kwanini makampuni na wafanyabiashara wenu wanakuja kutafuta $ zetu Ili waagize bidhaa toka nje?.
Nilikuambia tafuta elimu ya uchumi kisha uje., uko na uelewa finyu mno.., sasa nyie mko juu ya Egypt kwa vile hii recession imewakamua zaidi kifedha? hadi makampuni yao kadhaa wameuzia nchi zingine za kiarabu kama Qatar na UAE kupata dollar, wewe ni boya mzee..., tafuta uelewa..,
Nchi yenu haina usalama karibu nusu ya nchi Kuna bandits, huku Rutto anapambana na Matiang'i analipiza kisasi, ukigeuka huku Raila anadai ameibiwa kura anaitisha maandamano ya kuingasha serikali.
Porojo.., nusu ya nchi wapi?.., mbona unasukumwa na wivu na chuki?., Mambo ya Matiang'i wewe yanakuuma kwa nini? wacha apambane na hali yake.., Raila ako na uhuru wa kufikiria anavyotaka, wacha mzee ajiliwaze anavyojua yeye., wewe pambana na ufukara wenu ulio wazi, licha ya amani bandia kisa ushamba na kutoelewa na uoga uoga..,
Hivi ninyi ni watu wa aina gani?, Msituambukize upumbavu wenu, nchi zote zimetulia zinajenga uchumi wao, ninyi ni fujo Kila siku.
Nchi gani hizo zinajenga uchumi haswa Tanzania? miradi zinajikokota haziishi, wananchi wamezubaa mpo mpo tu, hamuulizi maswali kazi nikubweka kwa JF.., idiots.., sasa nyie ndio wapuzi, kaa mtazame vile Kenya itakavyo jinyoosha..., keep watching...,
 
Kesho utatokea kwenye maandamano ya "baba"?😂
Hapana mkuu., baba ako deluded, even though I voted for him he is not honest.., the current situation is beyond Kenya, ni global recession, triggered by ukraine war and other factors, dollar has strengthned against all major currencies, which is normal kwa any crisis as it is considered a safe haven currency, yaani the wealthy and many corporations buy dollars to hedge their wealth against recession, so dollar na gold zinapungua (dhamani yao inapanda)kwa vile demand iko high, na hiyo ina affect prices ya goods kwa vile bei ya mafuta inapanda as it is quoted in dollars. Raila angekua mkweli angeambia wafuasi wake kuna global recession ukiongezea prolonged drought kisha aulize serikali iko na mikakati ipi kupambana na hali ilivyo duniani, akiona hajaridhika atoe opinion yake wakikataa awasukume.., sio kusema eti Ruto ameshindwa na kudanganya wafuasi wake eti seikali ya Ruto ndio sababu ya masaibu yao he is obviously taking advantage of the situation to gain political milaege., I am an independent thinker.., I voted for his manifesto sio vioja vyake..., apumzike na yeye.., we lost fair and square, nimefanya uchunguzi wa results from many sources...,as team Azimio we lost it.
 
Nimemsikia SSH akisema kuna jirani anaomba kuwekewa Bond na Tanzania kununua mafuta huko nje akawatolea nje bila shaka ni kundustan 😆😆wazee wa GDP
Tafuta elimu kaka.., mko hovyo sana , ona sasa😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆
 
Hapana mkuu., baba ako deluded, even though I voted for him he is not honest.., the current situation is beyond Kenya, ni global recession, triggered by ukraine war and other factors, dollar has strengthned against all major currencies, which is normal kwa any crisis as it is considered a safe haven currency, yaani the wealthy and many corporations buy dollars to hedge their wealth against recession, so dollar na gold zinapungua (dhamani yao inapanda)kwa vile demand iko high, na hiyo ina affect prices ya goods kwa vile bei ya mafuta inapanda as it is quoted in dollars. Raila angekua mkweli angeambia wafuasi wake kuna global recession ukiongezea prolonged drought kisha aulize serikali iko na mikakati ipi kupambana na hali ilivyo duniani, akiona hajaridhika atoe opinion yake wakikataa awasukume.., sio kusema eti Ruto ameshindwa na kudanganya wafuasi wake eti seikali ya Ruto ndio sababu ya masaibu yao he is obviously taking advantage of the situation to gain political milaege., I am an independent thinker.., I voted for his manifesto sio vioja vyake..., apumzike na yeye.., we lost fair and square, nimefanya uchunguzi wa results from many sources...,as team Azimio we lost it.
Mjinga anaendelea kuwa mjinga!

Once mjinga, always mjinga!
 
Nilikuambia tafuta elimu ya uchumi kisha uje., uko na uelewa finyu mno.., sasa nyie mko juu ya Egypt kwa vile hii recession imewakamua zaidi kifedha? hadi makampuni yao kadhaa wameuzia nchi zingine za kiarabu kama Qatar na UAE kupata dollar, wewe ni boya mzee..., tafuta uelewa..,

Porojo.., nusu ya nchi wapi?.., mbona unasukumwa na wivu na chuki?., Mambo ya Matiang'i wewe yanakuuma kwa nini? wacha apambane na hali yake.., Raila ako na uhuru wa kufikiria anavyotaka, wacha mzee ajiliwaze anavyojua yeye., wewe pambana na ufukara wenu ulio wazi, licha ya amani bandia kisa ushamba na kutoelewa na uoga uoga..,

Nchi gani hizo zinajenga uchumi haswa Tanzania? miradi zinajikokota haziishi, wananchi wamezubaa mpo mpo tu, hamuulizi maswali kazi nikubweka kwa JF.., idiots.., sasa nyie ndio wapuzi, kaa mtazame vile Kenya itakavyo jinyoosha..., keep watching...,
Kwahiyo wewe Egypt ikipata shida kwasababu ni nchi tajiri kuwazidi, ninyi hamuwezi kujisimamia?, Sasa pamoja na matatizo ya Egypt mbona hawaombi fedha za kigeni toka nchi jirani na Wala wananchi wao hawana tatizo la njaa?

Ninyi huko kwenu ni fujo, hata watu wa kawaida wanapotaka kusaidia watu wengine kwa kuwagawia wakenya wenzao unga, wanakamatwa na kuwekwa ndani.

Hivi kwanini nchi yenu ikifilisika mnakuja huku kutuambuliza matatizo yenu?, Sisi tumetulia tunakusanya pesa zetu za kigeni, ninyi mnakuja kuzifuata, kwanini msiende Somalia na South Sudan kwenye fujo Kama hapo kwenu?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Yaani siku hizi umeishiwa hoja kabisaaa, tweets za 2019 na 2021 ilhali tuko 2023!!, umechoka sana kama jiji la mwanza lilivyo pole sana, pumzika upate nafuu urudi ukiwa fresh na nguvu mpya😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 ..,
Sikuwa kujua kuna slum inaitwa motherland slum eastleigh kaaah nimewanyooshea mkono bro 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌
 
Wanajitoa ufahamu hawa vilaza, kila kitu iko open..., dunia ya leo porojo na uongo hazisimami..., wakipata anything nje ya CBD yao kama Eastleigh waambie wanitag..., Dar yoote tumeichambua, ni uswazi 80%..,
🤣🤣🤣 We jamaa so bure huenda ni tahira wewe .. au ni wivu unakusumbua .. kando ya DAR CBD kuna Kariakoo (EA's concrete jungle), Upanga, Ilala .. huku ndio kuna namba kubwa ya gorofa mzee
 
Back
Top Bottom