kusema ukweli Dar ya sasa sio sawa na dar ya miaka ya nyuma,kwenye hii miaka nane dar imeshoot sana yaani hata ukiangalia majukwaa na media mbalimbali za kimataifa zinavyoizungumzia dar ya sasa lazima ujihisi fahari aisee,,yaani sahivi watanzania tunajiamini kabisa kuingia google na kutafuta "most developed african cities" unaikuta dar kwenye namba za mwanzo kabisa,,
Binafsi nisiwe mnafiki,nampongeza sana JPM maana emetuheshimisha sana,miradi aliyoifanya na aliyoiacha ndo inatuweka kwenye map hadi leo