President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,767
- 89,792
Economic Diplomacy.
Too much jealousyToo muuuuuuuch editing
Shame!
Kivuko ni meli??Ameingelea hadi kuhusu meli yenu kutengenezwa Kenya bongolala. Mbona unajifanya kiziwi?
Jengo lipo limeongezwa ama lipid limetolewa?Too muuuuuuuch editing
Shame!
kijana wa Tandale, Sikiliza vizuri maneno anayosema huyo ndugu yenu. Ametaja meliKivuko ni meli??
Unasahau kuna mwenye alichoma hadi vifaranga visivyo na hatia?Kuna yule wenu alisema kabisa tuwafukuze Watanzania Nairobi, alafu bado unataka kutufundisha nani anamchukia nani?
She is not a Kenyan, she is in Kenya looking for opportunities, there are many Kenyans in Diaspora who own business, but they are not citizens of those countries, good example is Moses Kuria, who used to own a company in Saudia Arabia for almost a decade.Y'all serious?
How do you freakin compare a company investing in FDI vs one founded in a specific country and specifically to directly benefit the citizens of that specific country! (At least first)
😁😁😁😁
Siku hizi mkenya ukimtajia KDF anachukia Sana, wamegundua hakuna kitu hao, wanamaliza pesa ya serikali bure, Bora wasiwepo wanajeshi KenyaSijapata kuona kwenye maisha yangu
Kipya ni kwamba mwanasiasa wenu mmoja analia sana kuhusu Kenya kutamba ukanda huu na kuuliza ni nini mbaya na TanzaniaVipi Wakundustan kuna chochote kipya?
Are they Japanese? I have a feeling Japanese contractors do commendable job compared to their Chinese counterparts. But I hear they are way expensive compared to the Chinese contractorsKabisa, the same company wanjenga ile interchange ya Junction Mall, Ngong Road. Najua hawata disappoint, judging by this.
Nyie ni commedian mbona,Kuna kama Mayesu 3 mpaka Sasa huko Kunyaland 🤪🤪Mimi ni mkenya ila hii taarifa niliicheka sana! Mbona huyu "yesu" hataki kutupatia siku kuu ya Pasaka jamani? Lazima tu tumsulubishe, la sivyo Pasaka itakosa maana
Huku tuko hadi na wawakilishi wa ibilisi mwenyewe 😃😃😃Nyie ni commedian mbona,Kuna kama Mayesu 3 mpaka Sasa huko Kunyaland 🤪🤪
Hii sheria ya Raisi wa nchi akistaafu kujengewa nyumba ya makazi, kama alivyofanya JPM kwa kikwete na Mwinyi .. Je mjane wa JPM na yeye ataambulia chochote.? Wajuaji wa mambo mnijuze mdogo enu.. nyumba alizojenga JPM kwa watangulizi wake so far 👇 Nyumba ya MwinyiView attachment 2539456View attachment 2539464Nyumba ya kikwete 👇.
Hii comedy ulianza lini kuitunga?Kipya ni kwamba mwanasiasa wenu mmoja analia sana kuhusu Kenya kutamba ukanda huu na kuuliza ni nini mbaya na Tanzania
Mbona unasema ni comedy? Huna habari?Hii comedy ulianza lini kuitunga?