Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakenya mnaweza kutumia umeme wa kes 160 kwa mwezi? Tanzania cost of living is low and poor people living better than in Kenya, maskini wa kenya hawezi kuishi haya maisha

Hata kama huyu anaishi chini ya dollar 1 bado anamudu maisha ya kisasa, hapo maji ni cheap zaidi kutokana na uzoefu wangu, kuna watu wanalipa water bill 2000 tsh kwa mwezi maeneo mengine tap water is just free
Screenshot_20230305-145638.png
 
Back
Top Bottom