Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndo walikuwa wakiwakejeli wa kuwatukana Watanzania wakiomba kipindi cha korona!
Magu alikuwa anaunabii fulani hivi, kwa hali ya kawaida haiwezekani mtu aone janja janja ya korona miaka mitatu kabla, wakati dunia yote ikitishwa kuwa watu wataokotwa barabarani. Leo hii tunaambiwa corona haikuwa deadly kivile, watu walikuwa wanakufa na magonjwa mengine wasema corona.

Alisema hizi ni biashara za watu, watanzania tujifunze kuishi nao, kila mtu duniani sasa anayaishi maneno yake. Alisema fanyeni kazi hakuna cha lockdown, leo hii uchumi wa Tanzanani uko imara kwasababu haukusimama, wanafiki wanasema uchumi mzuri kwasababu ya sera za mama.

Alisema msichanje, wajinga wachache wakamuona hamnazo, leo hii watu waliokuwa na afya nzuri baada ya kuchanja wanadondoka ghafla kwa matatizo ya moyo. Watu maelfu na maelfu wanajuta kuchanja, wamepata matatizo ya moyo yasiyotibika (wamekuwa vilema wa maisha).
 
I usually wonder when Tanzaníans say Kenya hakuna pesa... Sijui nani huwapea hio idea
20230306_082448.jpg


They even made a mistake, The 4th individual, Bosire is Kenyan.
Screenshot_20230306-082627.png
 
I usually wonder when Tanzaníans say Kenya hakuna pesa... Sijui nani huwapea hio idea
View attachment 2538927

They even made a mistake, The 4th individual, Bosire is Kenyan.
View attachment 2538928
Siku hzi sarah manker amekua mkenya na sio kutoka ethiopia 🤣🤣🤣 nimeona na kondoo mmoja ame like akishangikia

Nani aliwadanganya resley marincola ni mkenya na sio kutoka america ??? Hvi kujisifia ujinga hua munapata faida gani munalipwa au????🤣🤣🤣🤣
Screenshots_2023-03-06-09-42-55.png
 
Back
Top Bottom